Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,417
- 7,613
sio mara zote ni fangasi, pia kama hajatumika muda mrefuFungus hyo, Hadi nimeskia kutapika wanunulie gnozol
sio mara zote ni fangasi, pia kama hajatumika muda mrefuFungus hyo, Hadi nimeskia kutapika wanunulie gnozol
Ha ha ha haitpatikani nje ya uke,inapatikana ndani kabisa ya uke.Sidhani kama fungus iko hivyo.Fungus hyo, Hadi nimeskia kutapika wanunulie gnozol
Huyo unaemjibu alikua anataka kunifedhehesha tu .sio mara zote ni fangasi, pia kama hajatumika muda mrefu
Sio kawaida jmnSio ugonjwa mkuu...yuko horny sana....ni kawaida sana kwa mwanamke na inaonesha ameridhika emotional....I stand to be corrected
UTOKO Ni Nini hasa?Iyo kitu nisipo ikuta kwa mpenzi wangu lazima aandae statement
Kitaalamu unaitwa UTOKO
ni mafuta mwili unatengeneza pale mtu anapowaza ngono
Usipoyakuta jua ameyatumia
Pia jifunze kuyasoma ili kutofautisha na ya ugonjwa
Mimi nanusa tu K kama hainuki harufu toffauti na ya K Najua mambo mswano
Mkuu unaifahamu Hali hiyo?au hujawahi sukia mtu mwingine akiongelea?Sio kawaida jmn
Mi mwanamke,Mkuu unaifahamu Hali hiyo?au hujawahi sukia mtu mwingine akiongelea?
Mkuu Kuna tofauti gani Kati ya hii cream na majimaji Ute yamtokayo ukeni? Maana sizungumzii Ute Kama Ute wa yaiIyo kitu nisipo ikuta kwa mpenzi wangu lazima aandae statement
Kitaalamu unaitwa UTOKO
ni mafuta mwili unatengeneza pale mtu anapowaza ngono
Usipoyakuta jua ameyatumia
Pia jifunze kuyasoma ili kutofautisha na ya ugonjwa
Mimi nanusa tu K kama hainuki harufu toffauti na ya K Najua mambo mswano
Una harufu? Anawashwa?Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Sio kawaida jmn
Sasa nisaidie Basi Ili nami niweze kusaidia wanawake wenzako Kama Ni tatizo au Ni kawaida.Mi mwanamke,
so i know quite a lot about normal/abnormal vaginal discharges
Mhhh nyieeeNi kawaida sana Mkuu.
Hawa wa kwangu hawana harufu kabisa,zaidi ya harufu nzuri ya asili ya papuchi.Una harufu? Anawashwa?
Hawa wangu hawawashwi Wala hamna harufu mbaya aisee.Mhhh nyieee
labda km hauna harufu mbaya na sio km maziwa mgando na haiwashi
Otherwise.....
Hakuna harufu mbaya,Hakuna kuwashwa Wala Hakuna maumivu.Je ungekuwa kifofu? Muulize kama anawashwa, maumivu au harufu mbaya. Kama vyote hivyo havipo basi jipe raha tu. Mambo mengine ni ya muda tu.
Sent from my SM-A415F using JamiiForums mobile app
NavyojuaSasa nisaidie Basi Ili nami niweze kusaidia wanawake wenzako Kama Ni tatizo au Ni kawaida.
Mhhh nyieee
labda km hauna harufu mbaya na sio km maziwa mgando na haiwashi
Otherwise.....
Hapo sawa ma rangi yake inakuwa ni colourless to cream/whiteHawa wangu hawawashwi Wala hamna harufu mbaya aisee.