Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

Wakati tukiwa Vijana wadogo.... Ki Utaalam tulikua Tunaita Utoko.....
 
😂😂😂😂hii hutokea ukipiga ile kitu kiuhakika na kwa muda mrefu na husaidia sana kama lubricant hivyo kuondoa uwezekano wa michubuko ba haina harufu kabisa au normal harufu ya mhusika. Slippery when wet 😜
Ni kweli bt kuna tofauti jmn
Theres lubrication and there's abnormal discharge

Normal huwa ipo na inaongezeka as ur turned on zaidi

Sema tunatofautiana
Na 'monthly cycle' pia inachangia kubadilika kwa discharges

muda mwingine ni colourless kabisaa ila ipo nyingi
Na smtimes inakua cream to white
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Utadhani umepaka lotio fulani hivi nyeupeeee inaenea kwenye papuchi yote na dushe na wakati mwingine hutapakaa hadi maeneo ya chini ya tumbo 😜
Hapo sawa ma rangi yake inakuwa ni colourless to cream/white

ikiwa brown,yellow nk fatilia tiba
 
Utadhani umepaka lotio fulani hivi nyeupeeee inaenea kwenye papuchi yote na dushe na wakati mwingine hutapakaa hadi maeneo ya chini ya tumbo 😜
🙈wataalam mabaharia na kazi zenu heehehe
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hiyo lubrication ya kawaida baada ya kipindi kirefu cha kupeana utamu hubadilika na kuanza kuwa hiyo cream/lotion hapo kama kwenye pumzi nzuri unaweza kwenda hata 2 hours or more na KE kutolalama kuhusu kuwa dry maana ni utamu juu ya utamu.
Ni kweli bt kuna tofauti jmn
Theres lubrication and there's abnormal discharge

Normal huwa ipo na inaongezeka as ur turned on zaidi

Sema tunatofautiana
Na 'monthly cycle' pia inachangia kubadilika kwa discharges

muda mwingine ni colourless kabisaa ila ipo nyingi
Na smtimes inakua cream to white
 
Navyojua

discharge wkt wa tendo inakuwepo nyingi ila isiwe km maziwa mgando..huwa inakua km ute wa yai ama km maji lakini yako viscous hivi,kama yanavutika

kikubwa usiwashwe wala kutoa harufu mbaya hapo ndo huwa kuna infection
Hawashwi,hatoi harufu mbaya,Hakuna maumivu,haivutiki.Iko Kama lotion ya cream au nyeupe.
 
😂😂😂😂hii hutokea ukipiga ile kitu kiuhakika na kwa muda mrefu na husaidia sana kama lubricant hivyo kuondoa uwezekano wa michubuko ba haina harufu kabisa au normal harufu ya mhusika. Slippery when wet 😜
Mkuu BAK tusije tukawa tunatofautiana kuelewa,Mimi sizungumzii ile fluid Kama Ute wa yai.hiyo naijua sana.nazungumzia cream Kama lotion nyeupe hivi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni kweli bt kuna tofauti jmn
Theres lubrication and there's abnormal discharge

Normal huwa ipo na inaongezeka as ur turned on zaidi

Sema tunatofautiana
Na 'monthly cycle' pia inachangia kubadilika kwa discharges

muda mwingine ni colourless kabisaa ila ipo nyingi
Na smtimes inakua cream to white
Ahaa!Hapa naweza kuanza kuelewa
 
Mimi naizungumzia hiyo hiyo Mkuu. Ute ule hujitokeza wakati wa foreplay na hiyo creamy stuff huwezi kuiona wakati wa foreplay.
Mkuu BAK tusije tukawa tunatofautiana kuelewa,Mimi sizungumzii ile fluid Kama Ute wa yai.hiyo naijua sana.nazungumzia cream Kama lotion nyeupe hivi.
 
Habari zenu wataalamu wa afya.

Naomba kufahamu juu ya hiki kitu.
Mimi Ni me,lakini katika kufanya mapenzi na baadhi ya wapenzi wangu nimekuwa nikiina wakitokwa na vitu Kama cream ya maziwa au lotion nyeupe au Kama rangi ya pink kwa mbaaaali.
Ni umajimaji wenye uzito sawa na lotion ya kujipaka.

Sasa je?
Huu Ni ugonjwa au fluid ya kawaida tu?
Lakini hiyo kitu siioni kwa wanawake wengine,Hawa wengine wao hutoa ile juice ya kawaida tu yenye rangi Kama Ute wa yai.Hii kwangu mimi naona Ni kawaida tu.

Nauliza hiyo Kama cream ya maziwa au pink Ni ugonjwa au kawaida?

Msaada tafadhali.

Wachafu hao
 
Hata Mimi hiyo kitu nimeiona mpaka inanifanya niwe na wasiwasi na ukifanya nae mara kadhaa huondoka huo Ute na uchi unakua msafi kama inavyotakiwa hembu mliotangulia na hizi mambo mtupe mwanga, maana sio kama anawashwa au tatizo Ila anatokwa na vitu vyeupe kama creame.

Mchafu tu wanawake wengi hatujui kusafisha nyu*hi zetu mwanamke unatakiwa mwanaume akikuingilia ile kitu itoke na utelezi ule Kama maji sio maziwa mtindi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom