Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

Iyo kitu nisipo ikuta kwa mpenzi wangu lazima aandae statement

Kitaalamu unaitwa UTOKO
ni mafuta mwili unatengeneza pale mtu anapowaza ngono

Usipoyakuta jua ameyatumia

Pia jifunze kuyasoma ili kutofautisha na ya ugonjwa

Mimi nanusa tu K kama hainuki harufu toffauti na ya K Najua mambo mswano
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Fungus hyo, Hadi nimeskia kutapika wanunulie gnozol
Ha ha ha haitpatikani nje ya uke,inapatikana ndani kabisa ya uke.Sidhani kama fungus iko hivyo.
Hakuna harufu Wala maumivu Wala muwasho wa Aina yeyote.
Tena Ni wanawake walio vizuri kimatunzo.
 
Iyo kitu nisipo ikuta kwa mpenzi wangu lazima aandae statement

Kitaalamu unaitwa UTOKO
ni mafuta mwili unatengeneza pale mtu anapowaza ngono

Usipoyakuta jua ameyatumia

Pia jifunze kuyasoma ili kutofautisha na ya ugonjwa

Mimi nanusa tu K kama hainuki harufu toffauti na ya K Najua mambo mswano
UTOKO Ni Nini hasa?
 
Mkuu Kuna tofauti gani Kati ya hii cream na majimaji Ute yamtokayo ukeni? Maana sizungumzii Ute Kama Ute wa yai
 
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Una harufu? Anawashwa?
 
Je ungekuwa kifofu? Muulize kama anawashwa, maumivu au harufu mbaya. Kama vyote hivyo havipo basi jipe raha tu. Mambo mengine ni ya muda tu.

Sent from my SM-A415F using JamiiForums mobile app
 
Sasa nisaidie Basi Ili nami niweze kusaidia wanawake wenzako Kama Ni tatizo au Ni kawaida.
Navyojua

discharge wkt wa tendo inakuwepo nyingi ila isiwe km maziwa mgando..huwa inakua km ute wa yai ama km maji lakini yako viscous hivi,kama yanavutika

kikubwa usiwashwe wala kutoa harufu mbaya hapo ndo huwa kuna infection
 
😂😂😂😂hii hutokea ukipiga ile kitu kiuhakika na kwa muda mrefu na husaidia sana kama lubricant hivyo kuondoa uwezekano wa michubuko ba haina harufu kabisa au normal harufu ya mhusika. Slippery when wet 😜
Mhhh nyieee

labda km hauna harufu mbaya na sio km maziwa mgando na haiwashi
Otherwise.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom