Nina-enjoy kumtukana mke wangu wakati wa tendo

Canabian Rasta

JF-Expert Member
Aug 18, 2022
773
1,708
Nimegundua mapenzi yana mapana yake na ukizama kwa kina utagundua kila mtu ana namna yake yakufurahia mapenzi, Mimi sio mjuzi sana kwenye secta yamahaba nachojua zaidi ni majukumu yangu kama baba ndani ya familia.

Sasa wanasema ukishangaa ya mussa utayaona ya filauni, kwakifupi haikua kawaida yangu ila nimejikuta nimekua mpya kwenye huba nalopata kutoka kwa mke wangu.

Zamani nilikua kila tukipishana kauli naishia kuchukia sana ila nashuruku baadakupata huu mwa40 sasa sina baya la kutunza moyoni zaidi ya mema yake.

Ni muda sasa kila tukiwa sita kwa sita na mama chanja nimekua nikimporomoshea matusi mazito mazito kimoyo moyo na muda mwingine kwa sauti huku nikimsindikizia kichapo kisicho na maumivu wenyewe wanaita kumpelekea moto au hardcore.

Inshort nimejikuta ninapata raha ya ajabu na kila nikimaliza tendo na nimezidi kumpenda kila siku inayokua mpya maana hatamakosa madogo madogo nikishamtukana huko kwenye show nikitoka hua nakua nishamsaheme hata bila yeye kujua.

Namalizia ujumbe huu kwa kusema sehemu ya sahihi ya kupunguzia hasira kwa hawa viumbe wenzetu basi nikuchapa ivo vi..PAKA vyao mpaka viseme “Nyauuu”, hutojutia mwanaume mwenzangu.
 
F5B7398E-6507-4138-AC99-2E9B132076EE.jpeg

alooou wewuuuh
mbona una mambu ya kishambo hivu
 
Unamtukana kimoyomoyo ndo unapata nafuu?

Afya ya akili ni tatizo serious.
Uende Kwa wataalam

Nimeshuhudia watu wanatukana wake zao mbele ya wageni, wengine mbele ya watoto pamoja na vipigo ambavyo basically ni shambulio nk. Kama mimi umenijudge ivo hao ambao wengine walikua ni wazee wetu unawajaji vipi?

Inshot kila mtu ana namna yake ya kupata relief.
 
Bangi mbichi mkuu, siku utatukana hata mbele ya watoto shauri yako?

Hapana, niko matured enough kutofanya uprimimitive kama huo, it’s juct inner side of me sipo ivo baada ya tendo nimeshare tu experience ambayo siwezi share kwa watu wanao nijua na pia wife anaenjoy so sijui tatizo linakua wapi.

bytheway sivuti bhangi pombe wala sigara kuna watu wakipata stress kidogo wanaenda bar wengine kwa paroko wengine kwa waganga na ndoa zao zinaishia kuvunjika vipi hao unawajudge vipi?
 
Back
Top Bottom