Ubwabwa wa siku hizi hauna ladha

Ubwabwa wa siku hizi hauna ladha

Huwa najereka nikienda kijijini mtu anaachakunipikia dona aaniletea sembe
Abaacha mawese abanipikia mafuta ya kiwandani
Huwa sipendi
 
Shamba lenye mpunga uliowiva halinukii tena.
Maji ya mito yamekuwa mekundu au meusi tii na sio meupe tena, na hayanyweki tena na tena.
 
Ubwabwa Wa Zamani Ulikuwa Na Ladha Nzuri Sana. Uliwezekana Kuliwa Hata Bila Mbonga. Mtu Mmoja Aliweza Kula Sahani Mbili. Ulikuwa Na Harufu Nzuri Ya Kuvutia Kula. Mahindi Ya Zamani Nayo Yalikuwa Mazuri Sana Na Ladha Nzuri Yawe Ya Kuchomwa Au Kuchemshwa. Ugali Wake Nako Ulikuwa Na Ladha Nzuri. Maji Ya Ardhini Nayo Yalikuwa Yana Ladha Yake Nzuri Kutokana Na Ardhi Ya Mahali Pale Na Madini Yaliyopo Yanayohitajika Mwilini. Nguo Zilikuwa Si Za Kubana Sehemu Za Siri Zilikuwa Huru Kupata Hewa Safi. Yaani Vyakula Na Maji Vimevurugwa Sana. Watu Hawanywi Maji Ya Kisima Tena Wanakunywa Ya Kutengenezwa Tu. Matunda Pori Hawali Wanakula Haya Ya Kukuzwa. Watu Wa Zamani Wanaona Kuna Utofauti Mkubwa Wa Mitindo Ya Kula Na Kunywa
 
Nasikia hata kisheghewa , mgagani navyo siku hizi vinapigwa kolabo tu
 
Nitarudi maana nasoma nakuta kichwa tuu kina translate automatikaliii.
alielewa vingine anieleweshe na mimii
 
Wazee Wangu, Nani Amewahi Kula Wali Uliopo Kwenye Vifuko Kama Vya Kilo Moja Hivi Vimeandikwa Children Againsta Hunger ? Yaani Ule Mchele Ukipikwa Una Ladha Mbaya Ajabu Na Hutaendelea Kula Kama Unakula Wali Wa Kawaida Japokuwa Una Chengachenga Za Nyama. Wali Gani Hauna Ladha Nzuri Kwa Mlaji? Sifa Ya Chakula Ni Lazima Kilike, Kinukie Vizuri, Rangi Nzuri , Kiwe Na Virutubisho Vinavyohitajika Mwilini, Kitie Nguvu Mwilini, Vitamini, Protini , Madinilishe Na Kiwe Na Ladha Nzuri. Huu Ubwabwa Hauna Ladha Nzuri
 
Ubwabwa wa mchina maana kila kiungo cha mchina sooni sasa..hata vijijini ndio nakuwa mpunga ila unakuwa umeshaozea kwenye ganda ukija kuukoboa utahama mtaa.. Ubwabwa umekuwa Ubwabwa makapi... ndio maana wamageukia ubwabwa pori ambao unachangia sana vifo..
Zamani Ukila Tu Huo Ubwabwa Unashiba Mpaka Unaona Mishipa Inakuwa Ya Kijani Imejaa Damu Safi Kisawasawa
 
Nikifika Kijijini Huwa Nakula Vitu Vya Asili Tu, Vya Kutengenezwa Viwandani Sitaki. Kila Kitu Ni Cha Asili Tu Ili Mradi Hakisabishi Madhara, Ila Kuumwa Na Kunguni, Chawa Na Papasi Sitaki.
 
Ubwabwa Wa Zamani Ulikuwa Na Ladha Nzuri Sana. Uliwezekana Kuliwa Hata Bila Mbonga. Mtu Mmoja Aliweza Kula Sahani Mbili. Ulikuwa Na Harufu Nzuri Ya Kuvutia Kula. Mahindi Ya Zamani Nayo Yalikuwa Mazuri Sana Na Ladha Nzuri Yawe Ya Kuchomwa Au Kuchemshwa. Ugali Wake Nako Ulikuwa Na Ladha Nzuri. Maji Ya Ardhini Nayo Yalikuwa Yana Ladha Yake Nzuri Kutokana Na Ardhi Ya Mahali Pale Na Madini Yaliyopo Yanayohitajika Mwilini. Nguo Zilikuwa Si Za Kubana Sehemu Za Siri Zilikuwa Huru Kupata Hewa Safi. Yaani Vyakula Na Maji Vimevurugwa Sana. Watu Hawanywi Maji Ya Kisima Tena Wanakunywa Ya Kutengenezwa Tu. Matunda Pori Hawali Wanakula Haya Ya Kukuzwa. Watu Wa Zamani Wanaona Kuna Utofauti Mkubwa Wa Mitindo Ya Kula Na Kunywa
Ugali wa siku hizi hata haunukii, hata hautananishi kukomba mwiko!
 
Ubwabwa Wa Zamani Ulikuwa Na Ladha Nzuri Sana. Uliwezekana Kuliwa Hata Bila Mbonga. Mtu Mmoja Aliweza Kula Sahani Mbili. Ulikuwa Na Harufu Nzuri Ya Kuvutia Kula. Mahindi Ya Zamani Nayo Yalikuwa Mazuri Sana Na Ladha Nzuri Yawe Ya Kuchomwa Au Kuchemshwa. Ugali Wake Nako Ulikuwa Na Ladha Nzuri. Maji Ya Ardhini Nayo Yalikuwa Yana Ladha Yake Nzuri Kutokana Na Ardhi Ya Mahali Pale Na Madini Yaliyopo Yanayohitajika Mwilini. Nguo Zilikuwa Si Za Kubana Sehemu Za Siri Zilikuwa Huru Kupata Hewa Safi. Yaani Vyakula Na Maji Vimevurugwa Sana. Watu Hawanywi Maji Ya Kisima Tena Wanakunywa Ya Kutengenezwa Tu. Matunda Pori Hawali Wanakula Haya Ya Kukuzwa. Watu Wa Zamani Wanaona Kuna Utofauti Mkubwa Wa Mitindo Ya Kula Na Kunywa
 
Ubwabwa Wa Zamani Ulikuwa Na Ladha Nzuri Sana. Uliwezekana Kuliwa Hata Bila Mbonga. Mtu Mmoja Aliweza Kula Sahani Mbili. Ulikuwa Na Harufu Nzuri Ya Kuvutia Kula. Mahindi Ya Zamani Nayo Yalikuwa Mazuri Sana Na Ladha Nzuri Yawe Ya Kuchomwa Au Kuchemshwa. Ugali Wake Nako Ulikuwa Na Ladha Nzuri. Maji Ya Ardhini Nayo Yalikuwa Yana Ladha Yake Nzuri Kutokana Na Ardhi Ya Mahali Pale Na Madini Yaliyopo Yanayohitajika Mwilini. Nguo Zilikuwa Si Za Kubana Sehemu Za Siri Zilikuwa Huru Kupata Hewa Safi. Yaani Vyakula Na Maji Vimevurugwa Sana. Watu Hawanywi Maji Ya Kisima Tena Wanakunywa Ya Kutengenezwa Tu. Matunda Pori Hawali Wanakula Haya Ya Kukuzwa. Watu Wa Zamani Wanaona Kuna Utofauti Mkubwa Wa Mitindo Ya Kula Na Kunywa
 
Wazee Wangu, Nani Amewahi Kula Wali Uliopo Kwenye Vifuko Kama Vya Kilo Moja Hivi Vimeandikwa Children Againsta Hunger ? Yaani Ule Mchele Ukipikwa Una Ladha Mbaya Ajabu Na Hutaendelea Kula Kama Unakula Wali Wa Kawaida Japokuwa Una Chengachenga Za Nyama. Wali Gani Hauna Ladha Nzuri Kwa Mlaji? Sifa Ya Chakula Ni Lazima Kilike, Kinukie Vizuri, Rangi Nzuri , Kiwe Na Virutubisho Vinavyohitajika Mwilini, Kitie Nguvu Mwilini, Vitamini, Protini , Madinilishe Na Kiwe Na Ladha Nzuri. Huu Ubwabwa Hauna Ladha Nzuri
 
Ugali wa siku hizi hata haunukii, hata hautananishi kukomba mwiko!
Unakula Ugali Kwenye Kisosi Na Unabakisha. Vyakula Vyetu Vimevurugwa Ladha Na Havitamanishi Kula, Tunakula Tu Ili Kupunguza Njaa Tumboni
 
Back
Top Bottom