Wazee Wangu, Nani Amewahi Kula Wali Uliopo Kwenye Vifuko Kama Vya Kilo Moja Hivi Vimeandikwa Children Againsta Hunger ? Yaani Ule Mchele Ukipikwa Una Ladha Mbaya Ajabu Na Hutaendelea Kula Kama Unakula Wali Wa Kawaida Japokuwa Una Chengachenga Za Nyama. Wali Gani Hauna Ladha Nzuri Kwa Mlaji? Sifa Ya Chakula Ni Lazima Kilike, Kinukie Vizuri, Rangi Nzuri , Kiwe Na Virutubisho Vinavyohitajika Mwilini, Kitie Nguvu Mwilini, Vitamini, Protini , Madinilishe Na Kiwe Na Ladha Nzuri. Huu Ubwabwa Hauna Ladha Nzuri