BREAKING: Padri Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu na watu wasiojulikana. Ameumizwa sana na yuko mahututi. #TanzaniaLeaks😭😭😭Mshana Jr: Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya.
Hi habari umeisikia???
Okay!!BREAKING: Padri Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu na watu wasiojulikana. Ameumizwa sana na yuko mahututi. #TanzaniaLeaks😭😭😭