Ubungo kariakoo

Ubungo kariakoo

Alafu inawezekana ubungo kwenda kariakoo ilikuwa mbali sana wakati huo naona na barabara ilikuwa ya moramu.Kweli mlifaidi sana enzi hizo so natural,chai ya maziwa ikiwa inatoka kwenye mabomba UDSM na Nyama za makopo za Tanganyika Perkers.
 
Hii sio Photoshop kweli mbona gari inaonekana kuchoka Sana ila iko road
 
Hata zile nywele mabinti wakienda oga wanaziacha kitandani hazikuwepo,zaman raha
 
Enzi hizo kila kitu original....siku hizi dah mpaka wanawake feki wapo...nasikia "stick" za wanaume nazo feki zipo...kitu kinafika magotini.
 
Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali.
Mkuu hata huku kwenye entertainment? We ni nomaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo Ilikuwa bonde la msimbazi, naona Kajima wanajenga barabara kuna taxi Peugeot 404 nakumbuka mbali sana.

Enzi hizokulikuwa na"Simba Ruala" M'Nyamala Kariakoo, "Jadide" Ubungo Posta
Mkuu hizo Peugeot zilikuwa noma baada ya 404 zikaja 504
 
Back
Top Bottom