Halafu kulikuwa Hakuna ukimwi
Ila uharifu uliokuwepo jangwani manzese na keko wakati huo ni hatari kuliko sasaEnzi hizo wanaume wa dar na panya road hawakuwepo
HALAFU MNASEMA CCM NA SERIKALI ZAKE ZILIZOPITA HAZIJAFANYA KITU
Aise huyo aweza kuwa one of the richest in dar es salaam maana baik nayo kumilikiiiiiimie ndio huyo mwenye baiskeli hapo nyuma ya bus hapo ndio pale mwembe Togwa
yaelekea umri wako umeendaEnzi za mikate ya siha na ice cream Avalon