ila hapo tetenus mwakeHalafu kulikuwa Hakuna ukimwi
HATA WA dARIla watu hawakuwa na ngozi za plastic
Halafu kulikuwa Hakuna ukimwi
Ila watu hawakuwa na ngozi za plastic
Gonjwa kubwa kisonono na nduguye kaswende, tiba yake dawa za rangi mbili... Njano na nyekundu... Ziliitwa tetracycline... 4×1, kisha 2×3 kwa siku NNE maliza kabisa tatizoWatu wa enzi hizo walifaidi walikuwa wanajipigia nyama kwa nyama hofu yao vimafua tu vya hapa na pale. Utamu umeingia sumu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chama cha KWICHI KWICHI HATARI [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali.
Hahahahahaha,Mshana Jr bana.Gonjwa kubwa kisonono na nduguye kaswende, tiba yake dawa za rangi mbili... Njano na nyekundu... Ziliitwa tetracycline... 4×1, kisha 2×3 kwa siku NNE maliza kabisa tatizo