Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Mtafute aliyemdungua kwanza ndipo uje