Barack Obama jr
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 592
- 982
Hahahaha hili kaburi litamtesa sana huyu mfia kijaniView attachment 677463
Uishi maisha marefu ili uendelee kuumia zaidi na chuki dhidi ya Lisu
Hahahaha hili kaburi litamtesa sana huyu mfia kijaniView attachment 677463
Uishi maisha marefu ili uendelee kuumia zaidi na chuki dhidi ya Lisu
Mkuu bado hutaweza kuthibitisha kuwa na viwango vinavyokupa sifa za kuwa mtanzania.Siwezi kukosa sifa za kuwa Mtanzania kwani kizazi changu kinaweza kuthibitisha kimaandishi tangu mwaka 1890 wengi wenu ni Watanzania tangu siku mliozaliwa tu lkn hkn kumbukumbu yoyote ile popote pale kimaandishi kabla ya hapo!
Waza vizuri., yaweza kuwa unawaza huku njaa imekutawala.Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Kumbe bado unaishi? Hujakula sumu?Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Usiwe mjinga, unakumbuka Mwakyembe na Mwandosya walitibiwa kwa Muda gani? Uliwahi kusikia kuna mtu anawalalamikia.Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Nenda kata ya Butiama vijiji vyote waulize. Anza na kijijini Butiama kwa baba wa Taifa ambapo ndipo mkuu wa Wilaya alipo. Sasa na yeye sijui hana taarifa. Halafu nenda kijiji cha Buturu jirani na kijijini Butiama wanalipa hizo elfu 70 , 70.. Ukiwa huna wanakamata kuku au vyombo vya ndani...Hatuna taarifa hizo wasilisha kwa RC atazifanyia kazi maramoja
Hebu kumbuka ubunge wa tuntemeke enzi zakeKwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Unakosa sifa muhimu za kuitwa mtanzania, both phydically and mentally!Basi wala haulewi unachokiongea, Nyerere mwenyewe Butiama wamehamia tu kutokea Unyarwanda mbona yeye, Mke wake na akina Makongoro huwaambii warudi kwao?
Mimi kwetu Rufiji hivyo sina pa kurudi na eneo letu ni nchi kabla hata ya huko Nyikani kwenu hakujatambuliwa bado!
Wapo zaidi ya million 50, wote ni Bora zaidi yakoMimi ninaweza kuthibitisha uwepo wa kizazi changu hapa ardhi hii tuiitayo JMTZ kuanzia mwaka 1890, na hii ni kimaandishi kabisa na siyo kimaneno kuanzia Mababu na Bibi pande zote mbili!
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Tena wamfukuze haraka aende akaimbe kale kawimbo ka shithole kwa wazungu wake. Hana msaada wowote kwa watu waliomchagua kwa sasa.Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
ona aibuKwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Uwe na aibu!. Wewe pia ni miongoni mwa wasiojulikana.Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!