Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Kwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
wewe ndo msemaji wa watu wa singida???????
 
Kwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Ukiangalia maoni ya watu wengine utaona jinsi sisi watanzania tunachagia watu wengine wa mataifa ya magharibii watudharau sisi waafrika kwa ujumla. Lissu anaumwa na amepigwa risasi akiwa kazini, serikali imeshindwa kumuhudumia mpaka sasa watuwanaomthamini wanatembeza mabakuli kumuhudumia. ... Wewe badala ya kuwaambia hao mabwana zako wamuhudumie huyo unayesema mbunge wako. Halafu waambie hao mabwana zako wabadilishe katiba kwamba mbunge akiiumwa muda mrefu /au akiisema na kuikosoa serikali afukuzwe ili tujue kwamba kazi ya mbunge iwe ni kumsifu rais na kuisifu serikali kwa lolote inavyofanya .
 
Mimi ninaweza kuthibitisha uwepo wa kizazi changu hapa ardhi hii tuiitayo JMTZ kuanzia mwaka 1890, na hii ni kimaandishi kabisa na siyo kimaneno kuanzia Mababu na Bibi pande zote mbili!
Unaweza kuthibitisha kwakuwa upo kwenye kundi la wapuuzi? Kwani yule askofu mnayemuandama hawezi kuthibitisha? Kwani jen. Ulimwengu hakuwa raia? Mbona aliandamwa na kusakamwa? Unamkumbuka babwa wewe? Kweli hakua raia? Mbona aliandamwa. Suala sio kuthibitisha uraia. Swala ni unatokea kundi gani ? Na ndio maana yule aliyejiita usalama kule arusha aliachiliwa bila masharti angekuwa lisu si ungesema anyongwe wewe
 
Kwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

hivi barbarosa umepitia maswahibu gani ya kimaisha, labda wakati wa kukua au shuleni au mtaani hivi au hata kanisani kama sio msikitini, yaliyokufanya ukamchukia TL namna hii. yaani mpaka nashindwa kuamini kuwa hii ni chuki ya kisiasa pekee. nahisi kuna kitu amekufanya personally na una vengeance kubwa sana na TL. ngoja tukuambie, TL ni mtu anayeguswa na maslahi ya nchi hii na watu wake. yani mpaka sasa hivi sijawahi kupata ushahidi wa kumfikiria vingine yawezekana ni kwa sababu siko fully informed about TL. lakini so far ambacho anakisema kimekuwa kwa ajili ya kutetea ustawi wa nchi hii. hii ilikuwa kabla ya kuwa mbunge na hata sasa. wewe ni shahidi wa hayo.

Wewe barbarosa una tatizo la kuwachukia wote walio na mawazo tofauti na wapendwa wako kisiasa. unawachukia mpaka ninakuona ulivyo na stress nyingi hata yanapotajwa majina yao. ni hivi TZ tuliokulia ukiacha ulimwengu tuliomo, inatoa uhuru wa kutofautiana kimawazo. ndio ubinadamu. sasa wewe usipolikubali hilo unakosa sifa muhimu ya kuwa objective kama itakiwavyo kwa watu makini. nafahamu wewe hujali kuoneka kama uko makini au vinginevyo, lakini tunamuonea huruma mtanzania anayejita barbarosa kwa kuteseka mateso ya kujitakia bila hata kutazama kapu la possibilities nyingi zilizomo kwenye maisha haya. mwenye uhalali wa kuchukia watu wanaotofautiana nao ni kama mkuu wa kaya lakini mtanzania mwenzako yule anao uthubutu wa kukaa na watu wanaodhaniwa ni maadui wake wakuu na wakacheka pamoja na tv zikaonyesha. anao moyo wa kibinadamu hata kwa wanaotofautiana nao ingawaje anao uwezo wa kuwafutilia mbali. hajafikia chuki zako pamoja na kuwa anayo justification ya kuwa na chuki hiyo.

look TL ana uwezo mkubwa sana kuliko waTZ wengi kisiasa na pia anao ushawishi mkubwa kwa yale anayoyatetea. huyu bwana ni asset Zaidi ya liability kama unavyofikiria. ni bora hata ungekuwa unahalucinate ahamie huko unakotaka kuliko kumchukia hivyo. and BTW ukija kusikia kahamia huko halafu akapewa uwaziri wewe si utajitupa mbele ya treni wewe. i tell you it's a possibility as long as we are still living.

nakupa ushauri, wewe ni muhimu sana kama mwanadamu lakini ushahidi upo kwa maneno yako kuwa wewe sio muhimu kama alivyo TL kwenye nchi hii (forgive my lewdness) sasa the sooner you acknowledge this fact the better.

nakutakia maisha marefu huku TL akiwa na maisha marefu hivyo hivyo.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

Kwa akili hizi Trump hajakosea
 
auferet dominus Yaani wewe unamwandikia mwenzako gazeti kama vile ni lazima kumpenda Lisu. Jifunzeni kuwa watu wanahaki ya kuwa mitazamo yao hata kama haiwapendezi ili mradi havunji sheria.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
mnatapatapa!
 
Bado kuna mashetani mnahangaika na roho ya lissu humu jf..!
 
Barbarosa, zamani kulikuwa na kitu kinaitwa reverse call. Yaani mpigiwa ndio analipa.

Nikichukua mfumo huo nikauweka kwenye mfumo wa namna binadamu anafikiri naamini kuna mtu kashikilia akili zako kakuachia kidogo tu za kubeep

Hebu toa sababu za msingi kama ni ugonjwa kuna waziri yupo likizo miezi mitatu sijui nae atafukuzwa ubunge, kuna hata kiongozi wa Bunge alikua mgonjwa hakuvuliwa.

Na bado wapo wengine wagonjwa hawaendi kwenye vikao lakini......

Tupe vifungu ulivyotumia kumhukumu Lisu avuliwe ubunge.

Toilet paper kazi yake ni moja tu.
Msamehe bule kasema kwa maoni yake sio kwa mujibu wa sheria,
kwa maoni yake yaliyotawaliwa na chuki, husuda, wivu, kijicho na kiherehere ambavyo vyote ni dhambi hustahili kufa leo, unapaswa Uishi maisha marefu ili uweze kuwa shahidi wa uwezo wa Mungu. Mmeshaambiwa tubuni hakuwa anaambiwa sizonje peke yake.
 
Kwanza ni tundu Lisu huyu huyu alikuwa anashabikia kuwa Mbunge akikaa nje miez sita kwa kuumwa au kwa namna yoyote ile ubunge wake utakuwa umekoma leo hii mbatia na lissu walikuwa tayari hawana kitu mpaka sasa
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Tukiacha maoni yako sheria inasemaje?
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Ndo maana siku zote naunga mkono kauli za Trump kuhusu hili bara letu.
 
Mmeishajua hakuna mnachokifnƴa .Sasa mnaona jamaa ƴuko hospital akiruɗi lazima awape viɗonge vyenu.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Unajua wakati mwingine ni vyema ukanywa chai kwanza kabla hujatoa post.
Unasema usitishwe,kwa sheria ipi na katika mazingira gani? Unamuita masaliti, how? Alaf tangu lini ukawa msemaji wa watu wa jimbo la singida?
 
Mimi ninaweza kuthibitisha uwepo wa kizazi changu hapa ardhi hii tuiitayo JMTZ kuanzia mwaka 1890, na hii ni kimaandishi kabisa na siyo kimaneno kuanzia Mababu na Bibi pande zote mbili!
Usijitetee sana kwani wengi tunakujua ulikotokea. Yaani ninyi warundi msituchafulie taifa letu kwani ni mazoea yenu ya kuishi kivurugu. Hasa wewe na hilo kundi lako anzeni kujikusanya mrudi kwenu vinginevyo nitakulipueni humu wewe na mtandao wako.
 
Back
Top Bottom