Trichiuris Trichiura
Member
- Nov 27, 2017
- 16
- 13
TLisu mtetezi wa wTanzania ,msemaji wa wTanzania na mbunge pia ni tegemeo letu hapa singida tulimchagua wenyewe tutaendelea kumchagua
HAMNA JIPYA HAPA..Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Aisee...Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Sawa ni maoni yako, lakini kabla ya kutoa hayo maoni yako ya kijinga ungeangalia katiba inasemaje kuhusu mbunge kupoteza sifa ya kuwa mbunge. Chuki yako kwa Lisu siyo kigezo cha yeye kupoteza sifa za kuwa mbunge.Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
[emoji844]Hafai hata kuwa mwaba siasa tu achilia mbali ubunge.
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
hahaahaha dah!Haya yatakuwa maharagwe ya wapi yaliyoliwa?
Hahahahangoja waje wenyewe,, utasikia lowasa alienda ikulu kushawishiwa arudi ccm ila amekataa katakata..
Kila LISU anavyoendelea kuimarika kiafya nahisi kunawatu nao wanaaza kuuguaKwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Kwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Muzee wa k100 au kwa jina lingine shithole wa lumumba,ccm kumejaa wagonjwa kina maji marefu na wengineo wanakaa miaka bila kufika bungeni hawaulizwi...wewe lazma lissu alikupakata akakupa malipo kiduchu yani unamwogopa lissu kuliko mwenyekiti wenuKwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Ndugu yang ndio ni maoni yako ila sasa nikulizee swali!!kawasaliti kivip?Kwa maoni yangu Tundu Lisdu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.