Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,362
Yaani huyo deo atolewe haraka sana bila kuleta mushkeli maanna hana sifa kwa hayo mapingamizi
Kweli wee Adv kilaza kweli kweli, hv kesi za hujumu uchumi sio jinai??Hilo pingamizi halina mashiko kisheria. Document ya msingi kabisa ni HUKUMU tu.
1. Kosa lililomo kwenye judgement ni kuisababishia serikali hasara. Siyo kukwepa kodi.
2. Hakupata adhabu na mahakama ya kwenda jela miezi 6 au zaidi.
Note well: Kwa hukumu hii Deo Mwanyika hana kizuizi kikatiba na kisheria kugombea cheo cha umma.
Kisheria pingamizi hilo halina miguu. Litaanguka mwanguko wa mende.
By Adv....
Kweli wee Adv kilaza kweli kweli, hv kesi za hujumu uchumi sio jinai??
Kwani si ipo wazi hii kuwa jamaa alitenda jinai,akashtakiwa na kuhukumiwa?Watasema Masonga kakosea namna ya kuweka pingamizi
Acha. KinukeKimenuka !
Hili nduo pingamizi lililoenda shule sio la rais mginbea.
Mtu atawekewa pingamizi ikiwa atapaikana na hatia ya kukwepa kodi.
Swali. Je ana hatia hiyo? Kama ana hatia hiyo TRA wanamdai kiasi gani cha kodi?
Au aliwahi kukwepa kodi? Nayo ni hatia?
Kama zamani uliwahi kukwepa kodi ni hatia basi wengi watalambwa wakifuatiliwa vzr.
Lakini ccm itapitishaje aliyewahi kufungwa?
Hili nduo pingamizi lililoenda shule sio la rais mginbea.
Mtu atawekewa pingamizi ikiwa atapaikana na hatia ya kukwepa kodi.
Swali. Je ana hatia hiyo? Kama ana hatia hiyo TRA wanamdai kiasi gani cha kodi?
Au aliwahi kukwepa kodi? Nayo ni hatia?
Kama zamani uliwahi kukwepa kodi ni hatia basi wengi watalambwa wakifuatiliwa vzr.
Lakini ccm itapitishaje aliyewahi kufungwa?
Wewe ni mbumbumbu wa sheria. Ishu hii ni ya kisheria.Siyo ya community development. Soma HUKUMU ya shauri hili na katiba ibara ya 67. Acha ujinga.Yani kama wewe ni wakili basi hujawahi kupata mteja hata mmoja, mtu alihukumiwa na mahakama na akapigwa faini au kwenda jela wewe unasema hakuna hukumu iliyotolewa? Ila umejiita Advo
Mwanasheria Emmanuel Mwasonga amemuwekea pingamizi mgombea ubunge jimbo la Njombe mjini bwana Deodatus. Mwanyika ambae amepitishwa na chama chake kugombea ubunge huku mwezi wa 7 alipatikana na hatia ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.
Najiuliza hadi CCM wanampitisha Mwanyika hawakujua kama ni mtu ambae hafai kugombea kulingana na sheria za Tanzania?
Maagizo ganiHao wote ni mawakili wasome..
Huyo Deo mwanyika ni Maagizo toka juu apewe ubunge.
Hivi nyie chadema mna matatizo gani na Deo Mwanyika? alivyokuwa mwajiriwa wa Barrick mlimshambulia hadi akafukuzwa kazi tena mkamsababishia akawekwa ndani, ndugu zake wamemwonea huruma wamemchukulia form ya ubunge akiwa hukohuko jela na wakampitisha kura za maoni, ccm imefumba macho imempitisha nyie bado mnamwandama, huyu bwana ni muungwana mpole na mtaratibu na si mwanasiasa bado tu mnamsakama, shida anazopitia mmemsababishia nyie. Ningekuwa mie akyanani ningepita na huo mguu wa pili.Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
Yohana, huyo Paskali asikuje huku. Hataitendea haki hii kesi.Wanasheria kujeni huku haraka!
cc: Pascal Mayalla
Hili pingamizi limekwenda skuli SIYO KAMA LILE LA LISSU dhidi ya Dr. John Pombe MAGUFULI, Rais na Mwenyekiti wa CCM. Eti walichokiona wale wapambe ni kutokuwepo kwa picha, ambayo siyo kweli na sahihi. Walikwenda pale kwa mbwembwe na kuangalia zile fomu, kumbe hamna LOLOTE. Hawa wa Njombe wamewapiku wababaishaji wa Makao Makuu.Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
walilipa barric sio yeyeHizi ndio pingamizi za maana sasa
Na nikweli huyu tajiri wa madini bwana Mwanyika alilipa 1.5b cash mwaka huhuu kwa kukiri kufanya hayo makosa
Ngoma droo mbona cdm pia walimsimamisha mgombea wa urais waliekuwa wakimuita fisadi..!
ohh masikini mataga.Ngoma droo mbona cdm pia walimsimamisha mgombea wa urais waliekuwa wakimuita fisadi..!