Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Hilo pingamizi halina mashiko kisheria. Document ya msingi kabisa ni HUKUMU tu.
1. Kosa lililomo kwenye judgement ni kuisababishia serikali hasara. Siyo kukwepa kodi.
2. Hakupata adhabu na mahakama ya kwenda jela miezi 6 au zaidi.

Note well: Kwa hukumu hii Deo Mwanyika hana kizuizi kikatiba na kisheria kugombea cheo cha umma.
Kisheria pingamizi hilo halina miguu. Litaanguka mwanguko wa mende.

By Adv....
Kweli wee Adv kilaza kweli kweli, hv kesi za hujumu uchumi sio jinai??
 
Hili nduo pingamizi lililoenda shule sio la rais mginbea.

Mtu atawekewa pingamizi ikiwa atapaikana na hatia ya kukwepa kodi.

Swali. Je ana hatia hiyo? Kama ana hatia hiyo TRA wanamdai kiasi gani cha kodi?

Au aliwahi kukwepa kodi? Nayo ni hatia?
Kama zamani uliwahi kukwepa kodi ni hatia basi wengi watalambwa wakifuatiliwa vzr.

Lakini ccm itapitishaje aliyewahi kufungwa?
 
Kimenuka !
Acha. Kinuke
Mwanyika Hana utu
Alitetewa sana wakati alikumbwa na majanga leo anawapa za uso
Aendelee kujenga hotel wakinga waje wajidai
*****Upinzani Njombe umekomaaa Mwanyika utawasimulia wengine weh haya!
Wenzio akina Kitilya umesikia habari zao
Wao wamechelewa wajumbe wameshafanya yao labda 2025 nao watakuwa kama wewe
Mnachekesha sana mjue
Mmeona wabongo mabwegeeeeee au
 
  • Thanks
Reactions: PGW
Hili nduo pingamizi lililoenda shule sio la rais mginbea.

Mtu atawekewa pingamizi ikiwa atapaikana na hatia ya kukwepa kodi.

Swali. Je ana hatia hiyo? Kama ana hatia hiyo TRA wanamdai kiasi gani cha kodi?

Au aliwahi kukwepa kodi? Nayo ni hatia?
Kama zamani uliwahi kukwepa kodi ni hatia basi wengi watalambwa wakifuatiliwa vzr.

Lakini ccm itapitishaje aliyewahi kufungwa?

For your information, ile charge sheet ya awali iliyokuwa na makosa 96 ilikuwa amended dakika za mwisho. Likawekwa kosa moja tu/one count ambalo ni kuisababishia serikali hasara. Kosa la kukwepa kodi liliondolewa. Msifuate propaganda za mtaani. Someni HUKUMU ya shauri hili. Mwanyika ni wakili alijua alichokuwa anafanya. Hapo hakuna pingamizi. Ibara ya 67(c) ya katiba inaongelea kukwepa kodi na maadili tu. Mwanyika atakuwa MBUNGE kirahisi sana. Hakuna sheria ya kumzuia.
 
Yani kama wewe ni wakili basi hujawahi kupata mteja hata mmoja, mtu alihukumiwa na mahakama na akapigwa faini au kwenda jela wewe unasema hakuna hukumu iliyotolewa? Ila umejiita Advo
Wewe ni mbumbumbu wa sheria. Ishu hii ni ya kisheria.Siyo ya community development. Soma HUKUMU ya shauri hili na katiba ibara ya 67. Acha ujinga.
 
Hao wote ni mawakili wasome..

Huyo Deo mwanyika ni Maagizo toka juu apewe ubunge.
Mwanasheria Emmanuel Mwasonga amemuwekea pingamizi mgombea ubunge jimbo la Njombe mjini bwana Deodatus. Mwanyika ambae amepitishwa na chama chake kugombea ubunge huku mwezi wa 7 alipatikana na hatia ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.

Najiuliza hadi CCM wanampitisha Mwanyika hawakujua kama ni mtu ambae hafai kugombea kulingana na sheria za Tanzania?
 
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.

Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini

Hivi nyie chadema mna matatizo gani na Deo Mwanyika? alivyokuwa mwajiriwa wa Barrick mlimshambulia hadi akafukuzwa kazi tena mkamsababishia akawekwa ndani, ndugu zake wamemwonea huruma wamemchukulia form ya ubunge akiwa hukohuko jela na wakampitisha kura za maoni, ccm imefumba macho imempitisha nyie bado mnamwandama, huyu bwana ni muungwana mpole na mtaratibu na si mwanasiasa bado tu mnamsakama, shida anazopitia mmemsababishia nyie. Ningekuwa mie akyanani ningepita na huo mguu wa pili.
 
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.

Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini

Hili pingamizi limekwenda skuli SIYO KAMA LILE LA LISSU dhidi ya Dr. John Pombe MAGUFULI, Rais na Mwenyekiti wa CCM. Eti walichokiona wale wapambe ni kutokuwepo kwa picha, ambayo siyo kweli na sahihi. Walikwenda pale kwa mbwembwe na kuangalia zile fomu, kumbe hamna LOLOTE. Hawa wa Njombe wamewapiku wababaishaji wa Makao Makuu.
 
Huyu mwanyika ndio alimtaja Magufuli kipindi anapokea ripoti ya makinikia na hatimae kukamatwa na kufunguliwa mashitaka 92 ya uhujumu uchumi akiwasaidia acacia.

Leo kateuliwa na ccm kugombea ubunge na kumbuka siku jiyo ndio Lissu alipigwa risasi.

Haya maigizo ya magufuli kuna amabaye anapata shaka kuyaelewa
 
Ngoma droo mbona cdm pia walimsimamisha mgombea wa urais waliekuwa wakimuita fisadi..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom