Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,437
- 5,146
Shurkani🤛 naya Vivian kama unayo tafadhali mana niliskia walipata ajali wakiwa wote na kufariki uyo dada naskia alikuwa mtangazaji
Shurkani🤛 naya Vivian kama unayo tafadhali mana niliskia walipata ajali wakiwa wote na kufariki uyo dada naskia alikuwa mtangazaji
Shurkani sana
aisee naiomba hiyo ngoma mkuu...nitumie pls!
Hebu jaribu kwa link hii, au install ‘audiomack’ kisha search Safari Njema itakuja hiyo.... karibu.
Asante sana Mkuu..
Adili aka Hisabati nae alitoa moja tu ingawa alikuwa anamsaidia Prof. Jay kama back vocal kwenye concert. Adili ngoma yake ya Peke Yangu nae alikalisha sana
Inaitwa safari njemakuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa
Huyu mwana kabla hajafikia kupatwa mauti nlikutana naye agies pale tukabonga kdg
Adili huyu hukumwelewa..?
Niaje na wanoknok ni Miika Mwamba na si MajaniNiaje - Man Dojo na Domo Kaya
Wanoknok - Man Dojo na Domo Kaya
Hawatuwezi - Nako2Nako
Nilisikia kwenye interview ya KR Mulla wa TMK Wanaume kuwa huyo jamaa ni Marehemu.Bonge moja ya ngoma halafu jamaa alikuwa na kipaji ila alitoa ngoma moja tu
SureHuuu uzi stamani kuweka simu kanndo na aliyeanzisha nae apewe bigup zake za kutosha tu....Mana haya mangoma nikiyavutia taswira naona picha za maisha ya nyuma....najiuliza wahy always me?
Jamani mwenye wimbo wa Manzese crew-kula kona,auweke humu.pia kuna wimbo wa kwanza wa jeez mabovu unaitwa SELO ft j-murder ni bonge la ngoma. Kwa upande wangu nyimbo bora ya hip hop ya muda wote ni INGEKUWA VIPI ya FA ft jay -mo
Salute majaniii
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
sio kisa pombe ya mwasiti mpaka kesho n bonge la ngoma