Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Shurkani🤛 naya Vivian kama unayo tafadhali mana niliskia walipata ajali wakiwa wote na kufariki uyo dada naskia alikuwa mtangazaji
images.jpg
 
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa
Inaitwa safari njema
Humo kna Jay MO, complex(RIP), Dudu baya

Ova
 
Jamani mwenye wimbo wa Manzese crew-kula kona,auweke humu.pia kuna wimbo wa kwanza wa jeez mabovu unaitwa SELO ft j-murder ni bonge la ngoma. Kwa upande wangu nyimbo bora ya hip hop ya muda wote ni INGEKUWA VIPI ya FA ft jay -mo
Salute majaniii

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom