Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
2,267
Points
2,000

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
2,267 2,000
Pfunk.jpgPaul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.

Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga muziki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.

Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!

Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.

Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!

Enjoy!
 

Attachments:

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
41,877
Points
2,000

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
41,877 2,000
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa
Inaitwa safari njema
Humo kna Jay MO, complex(RIP), Dudu baya

Ova
 

Forum statistics

Threads 1,344,581
Members 515,942
Posts 32,827,656
Top