Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Heshima kwako mkuu kipumbwi kwa uzi huu mujarabu..
Hakika sisi wahenga tumeburudika sana kwa kujikumbusha enzi bongo fleva imeshika hatamu.

kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitafuta wimbo mmoja hivi umeimbwa na wasanii wengi sana (Chid Benz, Joslin, makamua n.k)nimeusahau jina ila wameimba wasanii wengi sana.
Kwangu mimi huu ni zaid ya wimbo kwani unatuhamasisga sisi kama waafrika tujitambue na tukaze bila kusahau maombi/sala kwa mwenyezi Mungu.
korasi iko hivi
"Nasema oooh Afrika inaangamia ...."
kwenye verse kuna mstari unasema " mwenyezi tuangazie mola wetu pekee......
halaf kuna mahali makamua anasema " Pema japo pema pasipo mema sio pema tena"

Natanguliza shukran za dhati sana wana jamvi nitashukuru sana kama nitaupata huu wimbo

CC zacha
 
Mkuu salama

Samahani sana kwa kukuchelewesha hii burudani kwako.

Naamini utafurahia hapo uliipo.

Usisahau kunawa mikono na maji tiririka na Sabuni.

Enjoy it Big Brother!
 
Attachments

  • Chidi Beenz Feat Joseline - Africa (Official Audio).mp3
    6.9 MB · Views: 29
Mkuu salama

Samahani sana kwa kukuchelewesha hii burudani kwako.

Naamini utafurahia hapo uliipo.

Usisahau kunawa mikono na maji tiririka na Sabuni.

Enjoy it Big Brother!

Mkuu, zacha sina la kusema kiongozi wangu.

Niko na furaha sana, huu kwangu ni zaidi ya wimbo.. sikufichi nimeusilikiza zaidi ya mara 35 hadi sasa.

Nimekumbuka mwaka 2006 wakati niko naharakati za kutafuta maisha huko kwenye utalii i mean kutembeza watalii mbuga za wanyama, ahsante sana mdau kwa kuchukuaa muda wako na kuniwekea hii burudani hapa jamvini. Again heshima kwako brother
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom