Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Huu ugomvi wa tecno na samsung/iphone ni kama simba na yanga, ngoja nivute stuli tu niangalie mtanange
 
Tangazo kuonyeshwa haimaanishi kwamba eti nchi zote hilo tangazo linapoonekana hio bidhaa ipo.

mfano ukiangalia dstv league ya uingereza kuna matangazo ya etisalat, je Tanzania kuna etisalat? kenya kuna etisalat? si ipo Nigeria?

Tecno wana mkataba na man city hivyo tangazo lao litaonyeshwa lakini haimaanishi zinauzwa ulaya.

na siku akizindua tu simu official huko kina Nokia, Ericson, Microsoft etc wanagonga hodi watataka hela zao,
Post zako ulizo nijibu nyuma ulisema tecno si salama kimionzi nikakupiga ukakanusha ukusema hivyo hiyo inaonyesha UBONGO WAKO UMEALIBIWA NA MIONZI YA IPHONE AMA SAMSUNG HATA UKUMBUKI UNACHOKIONGEA NA KUKIANDIKA MFANO kama tecno ni hatari kwa afya na nk niambie waafrika wangapi wame dhurika na tecno mana ndo wanazitumia sana mana research unaweza kufanya kwa kuangalia matokeo baada ya matumizi ya muda mrefu tana waafrika ndo tunaongoza kwa kupigiana simu ovyo ovyo
 
Huu ugomvi wa tecno na samsung/iphone ni kama simba na yanga, ngoja nivute stuli tu niangalie mtanange
Ndugu tecno ni kama Yusufu kwenye misahafu nyota 12 zitamsujudia hadi baba yake kwasisi wataharamu wa biashara tunasema aliyetokea chini kiuchumi kicha akajipandisha hadi juu kiuchumi ni vigumu kuanguka ila aliye anzia juu ni rahisi kuanguka ndo mana watoto wa matajiri wengi uvuluga Mali za wazazi wao wanapofariki
 
Attachments

  • IMG_20170823_115904.jpg
    IMG_20170823_115904.jpg
    91.5 KB · Views: 69
Post zako ulizo nijibu nyuma ulisema tecno si salama kimionzi nikakupiga ukakanusha ukusema hivyo hiyo inaonyesha UBONGO WAKO UMEALIBIWA NA MIONZI YA IPHONE AMA SAMSUNG HATA UKUMBUKI UNACHOKIONGEA NA KUKIANDIKA MFANO kama tecno ni hatari kwa afya na nk niambie waafrika wangapi wame dhurika na tecno mana ndo wanazitumia sana mana research unaweza kufanya kwa kuangalia matokeo baada ya matumizi ya muda mrefu tana waafrika ndo tunaongoza kwa kupigiana simu ovyo ovyo
narudia tena sijasema sehemu yoyote ile kwamba Tecno ina mionzi mikali, hivi unaelewa wewe? hebu rudia tena post zangu.

na mimi sio mamlaka husika, wafate TBS au wanaohusika wao ndio wanatakiwa wazipime na kutupa sisi majibu,

FCC ya marekani budget yake ni dola za kimarekani kama 388 ambayo ni karibia trilioni moja ya kibongo usifikiri ni mambo ya kueka apps playstore au kuflash simu, ni vitu vinavyohitaji umakini, tafiti na technology za hali ya juu, ndio maana nchi nyengine wanaamua kujiunga na standard fulani, kama ni FCC au CENELEC etc.
 
bora wewe umeleta hii picha, haya watu wa tecno muje mtoe majibu,

-angalia namba hizo kwenye mkono wa kubadilishia gia
-majani ya muembe
-maandishi ya kwenye redio
-maandishi mengine ya dashboard etc

hapo dhahiri unaona quality yake, then hii ndo ufananishe na high end yoyote? tunataniana aisee.
 
Kiukweli watu hawajui. Hii tecno toleo nalotumia ni bab kubwa. Cheki signature yangu hapo chini. Ni toleo zuri sana!

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Ndugu tecno ni kama Yusufu kwenye misahafu nyota 12 zitamsujudia hadi baba yake kwasisi wataharamu wa biashara tunasema aliyetokea chini kiuchumi kicha akajipandisha hadi juu kiuchumi ni vigumu kuanguka ila aliye anzia juu ni rahisi kuanguka ndo mana watoto wa matajiri wengi uvuluga Mali za wazazi wao wanapofariki
Hahahah kwa hio unataka kusema tecno ni kama mfano wa mafanikio ya diamond platinumz yanavyochukiwa dhidi ya wasanii wakongwe
 
si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali

-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc

ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.

Usiseme si kweli, sema hakuna comparison ya hivyo vitu ulivyoorodhesha, nikuulize swali RAM sio sehemu ya specification? Storage sio sehemu ya specs? Na hivyo vyote ulivyovitaja sio specs?

Halafu kama wewe ni mtaalamu wa architecture na os za simu, unaweza kufigure out hivyo vyote unavyouliza. Halafu ukaja na findings, na baada ya kuja na findings, unaelezea hivi, kwa mfano:

1. Nimekuta processor ya Sumsung xx ni multi-core (quad, dual, octa, etc.,) processor, multi-threaded or single-threaded, RAM ni DDR4 RAM (Double data rate 4th generation synchronous dynamic random-access memory) na Tecno xx processor yake ni ..........., halafu ukaeleza jinsi hivyo vitu vinavyofanya kazi na tofauti yake, na hiyo tofauti ni kwa kiasi gani. Pia ueleze ni programs zipi na instructions gani za simu sio multi-threaded kiasi kwamba haziwezi kutake advantage ya multi-processing units , i.e, haziwezi kuwa parallelized au haziwezi kurun concurrently, toa na sababu, soma hapa:

"Although it's tempting to suppose that a quad-core processor would operate twice as fast as a dual-core processor and four times as fast as a single-core processor, things don't work out that simply. Results vary depending on the habits of the computer user, the nature of the programs being run, and the compatibility of the processor with other hardware in the system as a whole. Some programs are
just single-threaded in nature and don't speed up much from multi core CPUs" - What is quad-core processor? - Definition from WhatIs.com

2. Baada ya hapo ukaeleza aina na tofauti za storages, na kuonyesha kwa ufasaha tofauti na any significant differences, nenda mbali zaidi kuelezea cache memory.

3. Baada ya hapo ukaja tena kwenye sensor, uanze kwa kueleza sensor ni nini, inafanyaje kazi, kwa nini architecture fulani ya sensor ni nzuri kuliko nyingine? Uelezee vitu kama aperture, sensitivity, resolution, sampling rate nk., kwa kila camera (usipime resolution ya camera kwa macho), kwa nini? Kwa sababu sio kila mtu anaweza kupiga picha kwa ufasaha, upigaji picha ni utaalamu na kupiga picha nzuri sio kazi rahisi: Photography Is Difficult

Pia kuna factors nyingi zinazoathiri picha, mfano mmoja ni hali ya hewa kama vile atmosphere moisture. Isitoshe macho yanatofautiana kuona.

Kimsingi chukua kila attribute ya simu, baadhi hizi hapa: Compare Tecno i7 vs Samsung Galaxy S7 Edge Size, Specs, Camera halafu chambua kwa ufasaha, then njoo na calculated, quantitative na qualitative evidence.

Nimekupa kazi, usiikimbie. Nataka uwaeleze watu kwa kuandika kitaalamu.
 
bora wewe umeleta hii picha, haya watu wa tecno muje mtoe majibu,

-angalia namba hizo kwenye mkono wa kubadilishia gia
-majani ya muembe
-maandishi ya kwenye redio
-maandishi mengine ya dashboard etc

hapo dhahiri unaona quality yake, then hii ndo ufananishe na high end yoyote? tunataniana aisee.
Huyo jamaa hana mkono wa picha, ametetemeka. He would have made a better shot than that with steady hands.
 
ngoja nikupe utofauti wa kim na tecno.

1. kim anatengeneza silaha zake mwenyewe na unique wakati tecno wao wanasubiria makombo, technology outdated wao hutumia kwenye simu zao ukitaka ushahidi nitatoa.

2. kim anawatisha wamarekani haogopi wazungu, tecno wanaogopa marekani na ulaya ushindani ni mkubwa wao wanakuja ku dump Africa

hivyo tecno ni vise versa ya kim.

Hayo ni maelezo rahisi mno, kuna uwezekano mkubwa kabisa sumsung/iphone unayoitetea ni bora zaidi kuliko tecno, unapofeli ni kutoa maelezo mepesi na yasiyo ya kitaalamu, kwa mtindo huu unakuwa huna tofauti na ushabiki wa CCM na CHADEMA au Simba na Yanga, andika kama mtaalamu, make a difference.
 
wanazinunulia wapi?

wenzetu wazungu hawatumii simu ambazo hazijapimwa, ili kampuni iuze nchi kama marekani, ulaya, china etc inabidi ipimwe kwanza kama haina madhara kwa binadamu kwenye vitu kama mionzi. unaweza nipa link Tecno imepass Tenaa au FCC?
Mbona samsung note 7 iliuzwa huko ulaya na marekani na ilikuwa ina matatizo ya betri. Au huko kupimwa unakokuzungumzia ni kwa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
narudia tena sijasema sehemu yoyote ile kwamba Tecno ina mionzi mikali, hivi unaelewa wewe? hebu rudia tena post zangu.

na mimi sio mamlaka husika, wafate TBS au wanaohusika wao ndio wanatakiwa wazipime na kutupa sisi majibu,

FCC ya marekani budget yake ni dola za kimarekani kama 388 ambayo ni karibia trilioni moja ya kibongo usifikiri ni mambo ya kueka apps playstore au kuflash simu, ni vitu vinavyohitaji umakini, tafiti na technology za hali ya juu, ndio maana nchi nyengine wanaamua kujiunga na standard fulani, kama ni FCC au CENELEC etc.
Je nikikuonyesha ulipo andika hivyo??? Utakubali kuwa mionzi ya iPhone na Samsung ishakualibu ubongo
 
Unapolinganisha simu ili kujua uwiano wa uwezo ni lazima uzingatie bei Samsung ya sh mil1 ilinganishe na tecno ya sh mil 1 kama ipo kwaiyo ukiangalia uwezo wa tecno na ubora per price tecno is the BEST EVER
 
mkuu tecno imetengenezwa wapi? mpaka leo humu jukwaani kuna mamia ya thread hakuna anae jua

-Tecno inapotengenezwa ni wapi
-makao yao makuu yalipo
-maabara zao wanapofanyia tafiti etc

na pia utuambie huyo tecno kagundua nini kwenye hizo simu zake zaidi ya kucopy vitu ambavyo vimeshagunduliwa.
Mkuu chief mkwawa sorry kwa kutoka nje ya mada kuna hii camera Nikon d 3300...kuna kastudio kangu nataka nianze kufanya photo shoot bajeti yangu ni ndogo kidogo...mkuu ebu nidadavulie kidogo kuhusu ubora wa hii camera...jee ni nzuri pia kwa kufanya video recording??
 
Back
Top Bottom