Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Yap iko vizuri sana, it's real 16Megapix front and rear camera. Ninaitumia...sijajua tu kama cover zake zimeshatoka coz sijavutiwa na hz cover za tecno wenyewe walizozitoa. Kama budget yako inaruhusu ichukue tu mkuu

miezi 6 inakua chuma chakavu
 
Je we we Upo kwenye 20 bora hadi unataka hivyo nisawa MTU anavaa nguo ya mamilioni uku ananuka mwili nzima umejaa ukulutu .tecno simu yetu waafrica tuipende
Brand yngu ya huawei ipo kwny top 20 za dunia, tecno stakaa ntumie
 
Kila mtu anadai camera ya simu yake ni bora zaidi ya zingine hasa hawa wenye vi iPhone, kwa hiyo Fanya kama unatupia picha halisi kabisa tujue kama kweli TECNO tumeachwa,

Kumbuka kuandika na jina la simu uliyo pigia.
 
Nokia 3310
IMG_20170827_170720.jpeg
 
Msiwadharau sana Tecno,wamenunua kiwanda cha simu huko ufaransa kilicho kuwa kiwanda cha simu ziitwazo Sagem.
 
Msiwadharau sana Tecno,wamenunua kiwanda cha simu huko ufaransa kilicho kuwa kiwanda cha simu ziitwazo Sagem.
still hamtujibu maswali ya kila siku humu,

makao makuu ya Tecno yapo wapi?

na kuuziwa sagem bila kujua hilo deal lime involve nini ni kama unaeka maji kwenye chujio.

mfano TLC anatengeneza simu za Alcatel, haimaanishi technology ya Alcatel anayo TLC, uhalisia Technology yao sasa hivi anaimiliki Nokia, huwezi ukafahamu hili kwa kuangalia mambo juu juu.

soma historia yao hapa hao sagem
SAGEM - Wikipedia

mwaka 2005 walijiunga na kampuni nyengine na kuunda kampuni mpya inaitwa safran, then waka spin off biashara ya simu,

hivyo kampuni mama ya sagem ni hii hapa angalia mapato, idadi ya wafanyakazi etc utaona ukubwa wake
Safran - Wikipedia
wanatengeneza engine za ndege, rocket, security etc kifupi ni kampuni

nini kikaendelea kwa sagem wireless ambayo imetengwa na kampuni mama?

wakawa odm (shukran kwa kuileta hii tip),

ODM maana yake ni original design manufacture yaani mtu ana design kitu then anauzia wengine ili waweke logo zao (inaprove point yangu ya kutototengeneza simu hawa jamaa zetu)

mwaka 2011 ikawa mobiwire, hio sagem wakajigawanya tena.

MobiWire - Wikipedia

toka hapo ilipokuwa mobiwire na historia ikawa giza, simu za infinix zikazinduliwa, wanadai ni muungano wa Tecno, mobiwire na carlware, ila mpaka sasa hakuna data yoyote ya maana,

ila kukosekana kwa data ni proof kwamba sasa hivi inawezekana wamenunuliwa Africa.
 
Tecno 16mp na iPhone 8mp nahisi mlikuwa mnacompare ukubwa wa picha na sio quality ya picha,nina ipad air ya 5mp hiyo c10 haifuati.
iphone 6 ni ya 2014 si ulete na tecno ya 2014 au tushindanishe na iphone SE inayochukua 4k ,hiyo ya kwako inaweza ku-support 4K?
Sasa mbona mnaponda tecno amsemi tecno gani mpondapo mnaponda zote kama ni hivyo tuangalie na uwiano wa bei siyo mwaka tu ukitazama bei ya tecno na ubora wake tecno is the best wanafiki amkosi sababu
 
Sasa mbona mnaponda tecno amsemi tecno gani mpondapo mnaponda zote kama ni hivyo tuangalie na uwiano wa bei siyo mwaka tu ukitazama bei ya tecno na ubora wake tecno is the best wanafiki amkosi sababu
hebu jamani hata siku moja moja muwe mnagoogle,
unafkiri kuna tecno hata moja inayoweza shindana na xiaomi, meizu, motorola, lenovo na oem wengine wanaotengeneza simu nzuri za bei rahisi?

kidunia samsung hatengenezi simu nzuri za low end ila tanzania anatoa specs kubwa kuliko tecno, mfano mzuri angalia simu za tecno za chini ya 250,000 ipi zote ni 1GB ram wakati samsung grand prime plus ina 1.5GB,

sasa kama Tecno anapitwa na mtengenezaji mbovu wa simu za bei rahisi unafkiri anaweza tia mguu kwa watu kama xiaomi au meizu au oppo?
 
Tecno 16mp na iPhone 8mp nahisi mlikuwa mnacompare ukubwa wa picha na sio quality ya picha,nina ipad air ya 5mp hiyo c10 haifuati.
iphone 6 ni ya 2014 si ulete na tecno ya 2014 au tushindanishe na iphone SE inayochukua 4k ,hiyo ya kwako inaweza ku-support 4K?
Kwanza wanaoponda tecno awachambui tecno gani kwa iPhone gani au Samsung gani wao huwa wanasema tecno ni hovyo kwa simu yoyote ya Samsung au iPhone NK ila leo mmeanza kukubali baada ya kukubali kuwa tecno kaizidi iPhone 6 ni chamtoto sasa nataka kukufundisheni kanuni HII TECNO YA BEI FURANI IZIDISHE MARA 3 NDO UTAKUWA UMEPATA SIMU YA KUISHINDANISHA MFANO MWENYE TECNO YA LAKI 3 NI SAWA SAWA NA MWENYE SAMSUNG NA IPHONE YA LAKI 9
 
Ndo ulivoamka hivo au!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna CX hapo
Oy hao wasikusumbue kuwadhibitishia kuwa tecno ni noma wao siwanajifanya matajiri uchwara wakanunue tecno CX ya majaribio wajaribu wenyewe wanajifanya wanahela ndo mana awatumii simu ya tecno SASA MATAJIRI WA IPHONE NA SAMSUNG MNASHINDWA KUNUNUA TECNO HADI SISI MASIKINI TUKUTUMIENI PICHA pumbaaafu sana
 
Back
Top Bottom