Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Kubishana na wajinga na wapumbafuu nishida sana yuko mweu mmoja alileta ubishi wa kijinga nikamfanyia majaribio mwenyewe aka proof ujinga wake nilichukua TECNO CX na IPHONE 6 kisha nikavhukua laptop nikapiga picha maeneo sawa sawa na kwa wakati sawa kila simu picha 10 tano usiku na tano mchana nikazi edit majina nikazitia kwenye laptop moja nikazichanganya sasa nikaanza kumwonyesha upumbavu wake nikamwambia kati ya hizo picha 20 kumi ni za iphone6 na kumi niza tecno CX alipo ziangalia kijasho kikaanza kumtoka nikamwambia nichambulie za tecno CX na iPhone ziwe pekeyake jamaa alipo chambua ubishi uli ishia hapo Tisa za tecno akasema niza iphone 6 isipokua moja ndo ikawa ya iPhone 6 kweli zile nyingine 9 za tecno akadai ni za iPhone 6 isipokua moja jamaa ni shabiki wa iPhone ndipo nika mwonyesha alivyo bugi ubishi ukaisha kakubali kuwa tecno CX ni noma tena simu zote zilikuwa zimenunuliwa week tu mpya kabisa
TUTUMIE NJIA HII KUPUNGUZA UBISHI USIO NA AKILI Mimi nilipima ubora wa camera kwa njia hii
 
Tecno 16mp na iPhone 8mp nahisi mlikuwa mnacompare ukubwa wa picha na sio quality ya picha,nina ipad air ya 5mp hiyo c10 haifuati.
iphone 6 ni ya 2014 si ulete na tecno ya 2014 au tushindanishe na iphone SE inayochukua 4k ,hiyo ya kwako inaweza ku-support 4K?
 
Kubishana na wajinga na wapumbafuu nishida sana yuko mweu mmoja alileta ubishi wa kijinga nikamfanyia majaribio mwenyewe aka proof ujinga wake nilichukua TECNO CX na IPHONE 6 kisha nikavhukua laptop nikapiga picha maeneo sawa sawa na kwa wakati sawa kila simu picha 10 tano usiku na tano mchana nikazi edit majina nikazitia kwenye laptop moja nikazichanganya sasa nikaanza kumwonyesha upumbavu wake nikamwambia kati ya hizo picha 20 kumi ni za iphone6 na kumi niza tecno CX alipo ziangalia kijasho kikaanza kumtoka nikamwambia nichambulie za tecno CX na iPhone ziwe pekeyake jamaa alipo chambua ubishi uli ishia hapo Tisa za tecno akasema niza iphone 6 isipokua moja ndo ikawa ya iPhone 6 kweli zile nyingine 9 za tecno akadai ni za iPhone 6 isipokua moja jamaa ni shabiki wa iPhone ndipo nika mwonyesha alivyo bugi ubishi ukaisha kakubali kuwa tecno CX ni noma tena simu zote zilikuwa zimenunuliwa week tu mpya kabisa
TUTUMIE NJIA HII KUPUNGUZA UBISHI USIO NA AKILI Mimi nilipima ubora wa camera kwa njia hii
hio laptop imepotea? zieke hapa tuone
 
hio laptop imepotea? zieke hapa tuone

Zikija nitaziona pia ila Cheif wewe mvumilivu sana aisee, nilikuwa napitia huu uzi kuna members wana maswali ya kukera na wengine hata wanakupangia vya kufanya kama wanakulipa vilee. Wengine wanauliza vitu ambavyo hujaviongelea kabisa mpaka nakereka kama naulizwa mimi ila bado unaenda nao sawa.
Kudos mzee
 
510cd0d3881d2457044f1d08751254ca.jpg

1de23bb3afdbe1a2831e0a4a12cfb621.jpg

Nimejaribu kuzipost picha katika ukubwa wake halisi ila zimezingua still zinakuwa compressed ila nadhani kitaonekana japo kidogo nachokitaka kionekane
 
Kwa hyo hapo ya CX ni ipi na iPhone ni ipi?!
 
Back
Top Bottom