Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 950
- 2,232
Kampuni ya Uber inayohusika na huduma za taksi mtandao,imetangaza kusimamisha shughuli zake nchini Nigeria na Uganda kuanzia tarehe 2 Septemba 2026.
Wataalam wa biashara na uchumi tunaomba mtusaidie, je nini kinaweza kuwa chanzo cha Uber kusitisha huduma zake katika nchi hizo ikiwa ni baada ya kusitisha huduma zao katika nyingine mfano Tanzania ?.Je ni ushindani kutoka kwa kampuni nyingine,hali ya uchumi au mazingira ya kufanyia biashara??