Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
hali ya ewa inachangia,africa karibu mwaka mzima kuna joto,na ata inasemekana ublack wetu umetokana na mabadiliko ya hali ya ewa asa ya joto,mjue kwamba mazingira ya africa ni tofauti na bara nyingine,africa ni full joto karibu mwaka mzima,uku mabara mengine nje ya africa kuna kipind cha joto,lakin muda mwingi ni baridi tena adi snow inamwagika kwa hali hiyo inaaffect ata maumbile yao ya mwili,hivo jibu ni moja tu hali ya ewa ya bara letu ni joto karibu mwaka mzima,wakat bara nyingine kuna vipind vya joto na baridi kali sanaa sananana,hivo inaaffect maumbile yetu