Du hii kali, ya kuimarisha uhusiano:confused2:Mi sijawai kubahatika kukutana nao
wala sipendi 1
ila nipo nafikiria napoaga ujana nijaribu mchina au mkorea ili kuimarisha uhusiano wa nchi zetu
Mi sijawai kubahatika kukutana nao
wala sipendi 1
ila nipo nafikiria napoaga ujana nijaribu mchina au mkorea ili kuimarisha uhusiano wa nchi zetu
Tofauti ni centigrade ngapi?
I thought wazungu ni mammals na pia ni same specie kama wamatumbi (Homo sapiens).
kuna mlebanoni mmja alikuwa baridi sana hahahahah
daaah umejimuvuzisha hadi na ndugu za Yesu upo juu mamiikuna mlebanoni mmja alikuwa baridi sana hahahahah
hao walebabini ni wale wale tu hahahahahahamlebanoni naye ni mzungu??
Ujue walebanoni hawana tofauti na ice cream, wanafaa sana kwa fruit salad
ahahaaaaanani kasem?
Baada ya specie inakuja nini? Hiyo ndo tuko nao tofauti
sie zamadamu wakati wao zamamaji