Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Aisee

What did you expect
 
Mkuu hapo ubalozi hawana mamlaka. Cha kukusaidia ni hiyo kurudishwa salama bila kupelekwa mahakamani kwa uzamiaji.

Huku Tanzania wasomali kila siku wapo mahakamani.

Cha kufanya fanya juu chini usikamatwe na ukidakwa ujue pa kutokea.

Kwanza kataa wewe sio mtanzania

Pia la kujiuliza. Unasema unatumiwa passport? Inatoka wapi?
Mtu wanakudeport wewe kama wewe na nguo ulizovaa tu vitu vyako vyote vinaachwa kama una biashara zako unaziacha. Ata kwa hili pia ubalozi hauna mamlaka ya kumtetea raia wake angalau achukue vitu vyake?
 
Hapo ndo nawapendea wanaijeria mtu wao akidipotiwa nakufikishwa Nigeria wanamkataa wanasema siyo raia wao inabidi warudi naye.
Pana mwana mmoja sasa hivi yupo njema sana aliwahi kamatwa kurudishwa Tanzania akiwa fresh tu alipofika Daslm yeye alikataa kushuka na kusema anatokea Msumbiji ikabidi arudi SA kwa ajili ya kupelekwa Mozambique huku wengine wakiitumikia ile sheria ya kwenda jela kabla Mzee Kikwete ajaifuta...aliporudishwa tena SA Wananchi wakamchangia na kumtoa huko Jela...
 
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Kwanini wananaishi nchi ya watu bila makaratsasi?
 
Wazambia balozi zao wanachofanya ni kuwa mtu wao akikamatwa akiwa na tatizo la documents maana nje ilo tatizo ni kawaida kwa wageni kutokea hasa nazungumzia kwa wasafiri watanielewa wao wanampa mwanasheria ili kusimamia mali za raia wao wanapopata matatizo kama ikitokea deportation Ubalozi ndio utapelekewa hizo mali mpaka mwisho hii niliona jamaa mmoja USA na mwingine alikua SA nchi wanazojitambua wanajua mchango wa Wananchi wao wanaotafuta nje ila nchi zingine hakuna kitu wanajua...
 
Hiki ndo nachozungumzia alaf wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji. Mtu unadeportiwa alaf vitu vyako mali zako unaziacha na ubalozi hausaidii chochote kuhusu ili unarudishwa na nguo ulizovaa tu
 
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Japokuwa huwa siridhishwi kabisa na namna ya utendaji kazi wa Ofisi nyingi za Serikali ya Tanzania pamoja na hizo Balozi zake, lakini kwenye suala hili uliloelezea kama ni kweli lipo hivyo basi Mimi binafsi nawaunga mkono. Kwa nini uishi kwenye nchi za watu halafu hutaki kutii Sheria zao? Usifikiri watu wengine huko nje ya Tanzania wanapenda kuishi maisha ya hovyo hovyo na ya kiholela bila kufuata utaratibu kama ilivyo kwa hapa Tanzania.
Unatakiwa ujipange sawasawa unapoamua kwenda kuishi ktk nchi za watu ugenini. Hata unapokuwa huko ugenini pia Unatakiwa kuwa tayari tayari muda wote
 
Hiki ndo nachozungumzia alaf wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji. Mtu unadeportiwa alaf vitu vyako mali zako unaziacha na ubalozi hausaidii chochote kuhusu ili unarudishwa na nguo ulizovaa tu
Yaani wewe ndo msenge, point is, kwanini uishi kwenye nchi ya watu bila kuwa na kibali..?
Ubalozi wa nchi nyingine wanafanya utu tu ila sio haki yako. Wewe tatizo lako unataka msaada kwa lazima as if ni haki yako kweli, kusimamia mali zako sio jukumu la balozi ni msaada tu.
 
tuliza kishimo we bwege. Kutetea raia wake toka lini ikawa msaada? Kama hili unaita msaada ni nini kazi ya ubalozi kwa raia zake
 
Back
Top Bottom