Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Kama wewe na familia yako hamjaambukizwa au kupata vifo kwenye ukoo wenu, vivyo hivyo WaTz wengine nao wako hivyo.

Kuendelea kushabikia kutaka Serikali itoe takwimu za maambukizi ni kama unaomba dua WaTz wafe ili lengo lako litimie, siyo. Nami nakuombea upate wewe kwanza maambukizo.

Wewe taga tu huna lolote!
Kuna dhambi au kosa gani ya kutangaza Takwimu za Covid-19 hapa TANZANIA?
Bila shaka wewe ni mmoja wa wajinga fulani wenye imani za kijinga wanaofikiri hata ukihesabiwa(censor) unaweza kufa! Illiteracy kitu mbaya sana. Tumeambiwa Kuna Wagonjwa 4 Dar.....Je, wamepima Wangapi kwa muda gani kuwabaini hao 4? Tuna truck drivers wamekwama mipakani: Namanga, Holili na Horohoro hakuna Takwimu popote Kama wamepimwa wangapi na Kama wote hawana maambukizi Kuna shida gani?
Just speak it like: In the last 24 we have performed 1000 Tests. All NEGATIVE or 2,3 or 5 are POSITIVE!! Si Mzeebaba keshasema Corona imepungua Tanzania! Mnakwama wapi enyi mataga?
 
Back
Top Bottom