Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
 
Hii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo

Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…