Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Hamna uwezo huo wa kuwamulika maana bila hao hamuwezi kujitegemea
Hii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo

Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo, usjitie hamnazo, maelekezo sasa hivi hospitalini hata kama una covid-19 itaandikwa umekufa kwa kisukari au pressure...endeleeni kuwadanganya wadanganyika!
Ulichoandika ndio unahalalisha mtu kupost picha za watu kwa lengo la kuonyesha kuwa ni wahanga wa Covid 19 bila uhakika na kuheshimu privacy yao?!
 
Back
Top Bottom