Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,874
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.

Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.

IMG_20200602_171052.jpg
 
Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
 
Hii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo

Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom