Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,017
- 9,885
Utafikiri huko kwao corona haipo kabisaWamarekani bwana.
Hapo Sasa..wakati wanakufa kama kuku mdondo.Utafikiri huko kwao corona haipo kabisa
Na afadhali wangekuwa wanakufa tu ila wanakufianaHapo Sasa..wakati wanakufa kama kuku mdondo.
Wao wametoa taarifa kuwaambia watu waoUnawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa km Kuku
Mkuu, hao hawatoi tahadhari tu kwa wamarekani waishio hapa. wanatoa tahadhari pia kwa watanzania kuwa Dar es salaam hali ni tete. mimi naomba wana jf wote tuwashukuru kwa kutujulisha hiloUtafikiri huko kwao corona haipo kabisa
Wakati mwingine ukimya nalo ni jibu ..vyema tukakaa kimya tuu
It is never too late to begin. Start now
Unawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa kama Kuku?
Hamia huko kwa hao mabwana zako USAThank you. Watu wanabeza kana kwamba hawajui tatizo letu hapa ni kubwa sanaaa kuliko huko wanakokufa sana! Kwani sisi tunakufa kidogo? Sasa hivi hata ugonjwa wa kawaida wa kulazwa unakimbiwa na madaktari na manesi, mazishi kwa wingi kila siku; majirani wanatufungia mipaka, SADC wametuweka pembeni; AU wamepinga mambo yetu ya ovyo eti maabara sijui wataalum wana matatizo, kumbe matatizo ni yao wapima mapapai na oil (aibu!); WHO wametufungia milango, wanasema watafanya kazi na Zanzibar, sisi vichwa maji visivyo na akili! bado tu hatushtuki, na mbaya zaidi, bado kuna watu wanaimba mapambio kwa raisi wao "mwenye akili na ujuzi tele"! Shame on us!