Ubaguzi wa "wenzetu"

View attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.

Sina la kusema.
Mlizoea vya kunyonga kwa miaka mingi, sasahivi ni vya kuchinja Sheikh wangu
Ni kwa miaka mingapi mmepeana nafasi Wabara kama vile sie hatumo hapa nchini? We wataka hata hapa zanzibar tena muajiriwe ninyi halafu sie?
 
Tulieni hivyo hivyoo
 
Uku bara wamejazana sana kwenye halmashauri kumamaye huyu mama.
Sisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!
 
Sisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!
Sasa kama wanawaua Watanganyika amani inatoka wapi?
 
Sasa kama wanawaua Watanganyika amani inatoka wapi?
Serikali dhalimu si ndo inataka kuwaaminisha watanganyika kuwa cha msingi ni amani basi. Wizi wa mali ya umma, wazanzibar kuja kufanya kazi Tanganyika etc mambo hayo tukiyaongelea tunavuruga amani ya nchi.
Na maskini waTanganyika wamekubaliana na serikali dhalimu
 
Watanganyika hawajakubaliana, ila wana CCM tu tena baadhi yao na watumishi wa umma wanaolipwa na kodi zetu, ndiyo wanaoimba wimbo wa muunguno.

Kama unataka kuamini pitisha kura ya maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…