Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Mie nimependa hapo most least respected.
Kuhusu ubebaji mabox ni shida saana. Ukitaka labda uvizie zile shift ngumu ambazo jamaa hawazifagilii. Yaani anti-social hours. Maisha ya magharibi kwa kweli ni magumu saana kwa wageni. Labda kama upo huko ili watoto wako wapate elimu ya kueleweka.
Mwishoni kabisa na hao watoto wako wanakuja kuzaraulika kama ulivyodharaulika wewe baba/mama yao. Hiyo kitu na natural kwa wazungu, kamwe haitokuja kuisha. wao wametengenezwa kudharau binadamu wenzao wasio na asili zao. Dawa ni kurudi kwenu tu, UTUMWA nona.
 
Mkuu, kila mtu ana haki ya kuridhika na jasho lake.

Pengine wewe utataka upate $100,000 katika biashara yako, mwingine ameridhika na $20,000.

Sometimes, it's not all about the Benjamins.
Go east go west, home is the best. Rudini home, kuna opportunities kibao. Kuna Mshikaji wangu mmoja alikwenda UK kusoma, alisomea elctronics engineering na baadae masters in Computer. Wakati anamaliza Chuo alikuwa anadaiwa ada ya £15,000, akarudi home akaongea na wazee wakampa hiyo £15,000 ili kalipie Ada na kisha arudi na cheti TZ. Alipopewa, akatafakari weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mwishowe kabisa akaamua kutumia £15,000 alizopewa kulipia Ada kama Mtaji.Aka-foregoes Cheti na kunzisha biashar Kariakoo, sasa hivi jamaa ni Rich. Tatizo la wengi walio ulaya wanaona aibu kurudi baada ya maisha kuwapiga. msione soooo, Rudini tu nduguzenu bado tupo.
 
samahani mkuu kwa ushauri wako unaona nao waje bongo wapewe hzo hela kama huyo mtu wako?..arudi bongo kwani amekwambie kule anazungusha bakuli? Huyo mtu wako alienda kusoma, mtoa mada ameenda kufanya kazi na anaingiza hela so ushauri wako haumfai acha ajipange Kijana wa watu!!

Jigo
 
Go east go west, home is the best. Rudini home, kuna opportunities kibao. Kuna Mshikaji wangu mmoja alikwenda UK kusoma, alisomea elctronics engineering na baadae masters in Computer. Wakati anamaliza Chuo alikuwa anadaiwa ada ya £15,000, akarudi home akaongea na wazee wakampa hiyo £15,000 ili kalipie Ada na kisha arudi na cheti TZ. Alipopewa, akatafakari weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mwishowe kabisa akaamua kutumia £15,000 alizopewa kulipia Ada kama Mtaji.Aka-foregoes Cheti na kunzisha biashar Kariakoo, sasa hivi jamaa ni Rich. Tatizo la wengi walio ulaya wanaona aibu kurudi baada ya maisha kuwapiga. msione soooo, Rudini tu nduguzenu bado tupo.
Sizani kama ni soo mtu kurudi home na elimu haliya kuwa kaondoka tz kuja kuja kusoma, it's different na mtu anae kuja kutafuta maisha, anae kuja kusoma kwanza ujue uwezo anao, kulipia tu university ni 20,000 pounds kwa mwaka including accommodation and foods, miaka 5 kasomeshwa UK imagine kiasi gani?

Mtu alie soma hapa hata siku moja hapigi box, sisi tulio kuja hapa pangu pakavu huwezi kurudi nyumbani kwa sababu hatuna vipato, na sio easy ukaja ulaya miaka 5 ukarudi home, na mtu unapo kwenda ulaya family ndugu na wazee wanakuangalia wewe,just imagine hayo maisha yanakuwaje?

Kwa mwanafunzi mkuu lazima arudi bongo, lakini kwa sisi wenye ukaazi permanent na passport za European union tunaishi bila ya vikwazo, nyumba tunapewa, takiwa hatuna kazi tunalipiwa, watoto wanasoma bure tena elimu best in the world, sometimes this opportunity ni nzuri, ila home sweet home,
 
ni kweli Mkuu uswis ndio nch inayolipa vizur kuliko yote dunian. Ila bado naweka sawa mambo yangu ya residence permit. Within few months nitapata permanent residence permit na huko ndio target yangu. Huje hard rock café unitembelee cku moja nikiwa huko. Kuna mkenya yupo Geneva aliniambia anaingiza almost 10k francs per month kubeba boksi tu
pata kabisa uraia ,na ukiwa european's citizen unaweza fanya kazi kokote ila uzuri pia uswiss ipo kwenye schengens japokuwa haipo kwenye umoja wa nchi za ulaya
 
Go east go west, home is the best. Rudini home, kuna opportunities kibao. Kuna Mshikaji wangu mmoja alikwenda UK kusoma, alisomea elctronics engineering na baadae masters in Computer. Wakati anamaliza Chuo alikuwa anadaiwa ada ya £15,000, akarudi home akaongea na wazee wakampa hiyo £15,000 ili kalipie Ada na kisha arudi na cheti TZ. Alipopewa, akatafakari weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mwishowe kabisa akaamua kutumia £15,000 alizopewa kulipia Ada kama Mtaji.Aka-foregoes Cheti na kunzisha biashar Kariakoo, sasa hivi jamaa ni Rich. Tatizo la wengi walio ulaya wanaona aibu kurudi baada ya maisha kuwapiga. msione soooo, Rudini tu nduguzenu bado tupo.

Mkuu, kila mtu na hesabu zake.

Mimi nina maisha mazuri sana Japan.

Nimeridhika kwa kila kitu. Sina haja yoyote ya kurudi Bongo.

Hapa nimefika na nitazikwa hapa hapa.

Home is where you are comfortable. I am very comfortable in Japan.
 
Mie nimependa hapo most least respected.
Kuhusu ubebaji mabox ni shida saana. Ukitaka labda uvizie zile shift ngumu ambazo jamaa hawazifagilii. Yaani anti-social hours. Maisha ya magharibi kwa kweli ni magumu saana kwa wageni. Labda kama upo huko ili watoto wako wapate elimu ya kueleweka.
Kingereza hicho mkuu. Kibongo bongo tutaelelwana hivyo hivyo.
 
Mwishoni kabisa na hao watoto wako wanakuja kuzaraulika kama ulivyodharaulika wewe baba/mama yao. Hiyo kitu na natural kwa wazungu, kamwe haitokuja kuisha. wao wametengenezwa kudharau binadamu wenzao wasio na asili zao. Dawa ni kurudi kwenu tu, UTUMWA nona.
Hapo nina maana wanasoma kisha wanarudi nyumbani. Hicho ndio ninachomaanisha. Maisha ya kule wanataabika pia mashuleni.
 
Now you make sense.

Zile 45000 DKK kwa mwezi haiwezekani.
Siyo kwa kazi za kuosha vyombo na part - time, hasa nchi ghali na yenye kodi kubwa kama Denmark.
mkuu wapi iyo Japan nini? Wachoyo hao kwa nch yao
 
pata kabisa uraia ,na ukiwa european's citizen unaweza fanya kazi kokote ila uzuri pia uswiss ipo kwenye schengens japokuwa haipo kwenye umoja wa nchi za ulaya
ni kweli victoire. Ila inabidi ni enroll evening classes kusoma kidenishi na hapo lazima nidrop hii kazi ya jion.

Trondheim utapatembelea lini? Unamfaham komba? Unamfaham Laitnesi dada muarusha ama mama Beni? Halaf kuna kijana flan muhaya very smart na intelligent alikuwa anasoma INTNU masters chemical engineering anaitwa Kato ila nadhan karud homu kwasabab alikuwa government sponsored halaf ana kaz nzuri serekalini hapo ndio utam wa elim pia mwanafunz mwengine Henry kutoka bongo. Dah miss Trondheim. Ila December nilikuwa Bergen kama wiki moja. Tatizo la Bergen mvua nyingi ila kazi zetu za boks ni za kumwaga
 
mkuu wapi iyo Japan nini? Wachoyo hao kwa nch yao

Mkuu, angalia bango lako hapo juu , namba 53.

Sijui kama umechanganyikiwa au umekunywa Tuborg nyingi ulipokuwa unaandika.

Hizo figure 45000 DKK kwa mwezi baada ya kodi ni za kwako.

Mara unapata 1800 Euro kwa wiki, Mara kwa mwezi, inaonekana hata exchange rates za Euro to DKK huzijui. ( Euro 1 = 7.46 DKK)

Mwisho umesema unapata 1800 Euros kwa mwezi ulipobanwa.

Mpaka sasa, sijui niamini nini. Kuna contradictions nyingi katika mabango yako hapo. Ungesoma vizuri kabla ya kubandika.

Chukua ushauri wa yule jamaa juu pale. Nenda shule, achana na hizi kazi za kufagia, soma upate kazi za maana kabla hujazeeka. Kazi zitakusubiri, umri hausubiri.

Japan siyo wachoyo ili hawataki wageni wasio na kisomo.
Kama una elimu yako na unachukua muda wa kusoma lugha yao, kazi zimejaa.
 
Nimesoma mitazamo mbalimbali humu kulingana na mada husika kuna mengi ya kujifunza kwa vijana wote walio nje na ndani "most important we need to improve our thoughts"
 
Kuna mtu kaongea jambo la maana hapo juu. "Kwamba wana diaspora wa bongo, wangerudi bongo na waka weka pesa zao collectively na kushirikiana na vijana wa vyo n.k". Good Point, but one MAJOR problem. WATANZANIA! Sisi wabongo, nitwatu wagumu sana kubadilika, kujaribu kubadilika au kukubali mabadiliko na kuambatana nayo. WE SIMPLY DON'T WANT TO EVOLVE! I don't mean to generalize Tanzanian people as a whole, but the majority of us that i have run into- personally and in business ni watu wa ajabu sana.

1. Sisi ni wavivu sana. Mara nyingi naona watanzania wenzangu, tunapenda kukata kona sana. Tunapenda ujanja ujanja, deal deal, mishen town nyingi. Sikatai tusiwe wajanja, basi tujielimishe basi. Unaenda bongo, unakutana na "real estate" agent. Maujanja kibao, maneno kibao, sasa muulize maswali utaona anavyobabiaka. Unakutana na mtu anasema yeye mjasiriamali. Sawa, haya niambie biashara gani umefanya, umeanzaje, uko wapi sasa. Sikiliza hizo porojo. Tuache ubabaishaji na kutaka kukata kona in everything. Success doesn't happen over night. YOU HAVE TO TOIL FOR IT!

2. Watanzia wengi ARE NOT visionaries. I have ran into a lot of successful(financially) Tz folks, and very few were/are visionaries. Kuona mbali na kupanga mikakati ya mbali, haipo kwenye DNA yetu. But we can learn, and learning doesn't have to be in school. Mtu unakutana nae bongo, unamwambia i have 5 Thousand USD, i want to invest in your company(true story) but before i do that, tell me your goals with this business. Where do you see yourself in 5 years? Anasema ohh, mi bwana, mi bwana nataka tu nifanye biashara(true answer) ok, najua hilo so tell me the vision of your business? Ah bwana unajua hali kwa sasa... Maelezo mengi but nothing coherent. Na usiseme oh labda ulimuuliza kwa kingereza na alikua haelewi. NOP! Though i prefer English as my language of business, i understand sio wote wanaongea kingereza. Na you don't have to be fluent in English to be a good business person. So i spoke swahili with them.

3. Most of the Tanzanian's i've met... Abroad and back home, hatupendi kujiendeleza kimasomo, kifikira, hata kinteligencia. We simply don't evolve. Humans as species, we had to evolve to get where we are now. It's a continuous thing, and us Tanzanians are stuck in the same spot. Ndio mana mpaka leo, bado tunaajiri foreigners to build our country. Yes we recieve less foreign aid, but nionyeshe barabara bongo iliojengwa na watanzania peke yao. From Engineers, planners, surveyors, etc. Bila mzungu yeyote! What do we manufacture, that has impact in our daily lives? Most of the things we need, we import. Sisemi we can't do it, but we have to change our mindset before we get there. Mtu bongo hata ku google tatizo. REALLY??!! it's 2016 for pits sake. Sisemi ujue yote, but how about you push yourself to learn more about the information world we live in?

Hili, lisikukatishe tamaa kufanya biashara nyumbani. But you have to spend extra time to seek people(very few) with vision, raw talent and desire to evolve. So kwa huyo mtu aliesema hapo juu, kuhusu watu wabeba box waende bongo na kusaidia vijana etc. I think it's a great point, but also due to the lack of certain things it's also a very flawed point.

P.S Funny thing about evolving. Jamii Forums imekua for how long now? about 5-8 Years( i could be wrong) lakini bado the site has the most ridiculous bugs to date. The comment section is a mess, it lags, the latency sucks. Huwezi andika an message inbox, back to back. YOU HAVE TO WAIT a few seconds? REALLY? They couldn't write a simple code to execute that? The page is all over the place. SIIPONDEI, i am simply just showing you, how we can do it different but i don't think a few things like that bugs us. DETAILS. WE IGNORE THEM.

Kwa wale mnaopenda, ingieni. www.reddit.com muangalie wenzetu wanavyo execute simple forum websites of today. And maybe learn a thing or two, and we develope our own or make this one better.

Good points generally but instead it focusing on negativity there are lots of positive story. I am not sure ni watu gani umekutana nao Hawana vision but indeed Kuna a lot of successful and inspiring story. I think you just need to be resilient and focused. This country has so much unexplored opportunity which anyone intelligent and determined can benefit from.
So its new year lets focus. I do not dismiss any of your observations but depends on people in your circle. We surely can do better.
 
Back
Top Bottom