Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Nokia ni habari ingine.
Mimi ninayo N 73 tangu 2005, nabadilisha housing tu, nashindwa kuiacha maana inapiga mzigo bila hofu.

Mi pia ninayo N73 japo siku hizi siitumii ila iko fresh na niliitumia miaka zaidi ya 5.
 
ktk ulimwengu wa sasa hivi ambao DUNIA NI KIJIJI,spea haitakiwi ichukue mwezi,Tatizo la Watanzania wachache msiojua umuhimu wa mda ktk biashara,soma nilichokiandika kabla hujadandia treni kwa mbele

:crying:
 
Ipad ya tecno?????
Am dissapointed with these chinese in TZ,They are granted work permit in the country,yet they are not serious with their investment portfolio,their mind is in SERENGETI!
 
ktk ulimwengu wa sasa hivi ambao DUNIA NI KIJIJI,spea haitakiwi ichukue mwezi,Tatizo la Watanzania wachache msiojua umuhimu wa mda ktk biashara,soma nilichokiandika kabla hujadandia treni kwa mbele

:crying:

Inategemea spare ya aina gani na uko tayari kugharamia kiasi gani. Supplier hawezi kukuletea spare ya simu moja kisa simu yako ina warranty. Kama analeta mzigo kila wiki,mwezi, au zaidi itabidi tu usubiri mzigo unaokuja uje na spare yako vinginevyo watakuwa wanapata hasara kila mtu kitu kikiharibika wamletee peke yake.
 
upo off point,unachokisema hakipo kwenye mada yangu,nimezungumzia customer care na ubora wa simu! wanipe mda wa uhakika kuliko njoo kesho izae njoo baada ya mwezi! am used dealing with professional,not amateur chinese
 
customer care,whoever wanategemea spare kutoka kwa suppliers,aidha kwa meli au kwa ndege,chochote kinaweza kutokea.

na nimekujibu uliposema dunia ya sasa spare haiwezi kuchukua mwezi! si kweli inategemea na spare yenyewe na mahali inapotoka.
 
my concern is their poor customer care and fake mobile phones,go through properly my observation.

una uhakika hio TECHNO ni fake au unaongea tu?? Kitu fake umeuziwa na Techno wenyewe,tena kimeharibika umerudisha bado unaita fake? au fake ina maana gani kwako?? Kama hio Techno ingekuwa fake wasingeipokea hao Techno company ni sawa useme una Samsung s6 fake iharibike upeleke kwa authorized dealer wa samsung wataipokea kweli??!!
 
Natumia TECNO zaidi ya mwaka sasa kiukweli apa nawasifia waCHINA maana simu ni ngumu haina scratchs na ipo vizuri ila Sumsung ambayo nilikua natumia ipo kwa fundi zaidi ya mwaka sijawahi ata ifata...Hivyo kutuaminisha kua simu za kiChina ni mbovu sio kweli sijui km ungenunua Apple ya mMarekani nayo ikikuaribikia ungetuambiaje? Nenda kwa Mafundi ucheki iPhone na Apple zilivyojaa.

Mimi natumia techno R7 zaidi ya mwaka na nusu ni iko fresh na kuna mtu anataka nimuuzie
 
Mimi pia sija save wimbo wowote kama ringtone nikipigiwa..nimeshanga leo nikiwa kwenye daladala nilipopigiwa ikaita kwa nguvu amarulaaaa amarulaaa amarulaaa kweli tecno majanga

Teh Teh nimecheka sana daa
 
Mimi pia sija save wimbo wowote kama ringtone nikipigiwa..nimeshanga leo nikiwa kwenye daladala nilipopigiwa ikaita kwa nguvu amarulaaaa amarulaaa amarulaaa kweli tecno majanga

teh teh teh teh hii kali....!
 
nami nnatumia nokia c3 tangu mwaka 2010 mwishon, Imenitoa sana. Ndo simu pekee hizi smart phone tupa kule
Ha ha ha smart zina umuhim wake mdau,binafsi now natumia smart,ila ilipasuka screen baada ya kuangua,lakini baada ya kuharibika mambo yangu mengi yalikwama ambayo yanahusu matumizi ya intanet,ingawa C3 ilinisaidia kimawasiliano ila kwenye issue ya net nilipata shida,maana natumia smart as my modem kwa kutumia wi-fi .Isipokuwa smart inahitaji umakini,kiujumla inatakiwa uitunze sana sana sana,C3 imeshaanguka zaid ya mara mia,na mafundi wawili walinambia hii simu ni ngumu,ila smart mmmh ni fragile
 
Hivi TECNO inatengenezwa wapi?? Nadhani mngeanza kutembea China au kwenye Dunia ya kwanza na ya pili kuangalia kama hii bidhaa inayoitwa TECNO inapatikana madukani. Au tembelea Website yao www.tecno mobile games.com halafu itafakari utajua ni bidhaa ya watu wa daraja gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom