Natumia tecno kwa mwaka wa tatu tangu nmeinunua. Cyo zote mbovu jamani pia punguzeni ujuaji wa kujifanya mnajua cmu wakati amna uwezo huo.
Nilinunua ipad ya tecno ilikuwa na sd ya 125mb nikaitoa nikaweka ya 32gb inapigakazi kinoma.
Ni kweli simu zote ni vimeo, zipo kibiashara , huku ulaya ambazo simu ni highly quality still tunakutana na matatizo, kama simu yoyote utatumia miaka 2 nothing happens bahati yako
Wakati mwingine fikiri kiduchu itakusaidia, wengine wanatumia simu rahisi kwasababu ya mazingira ya kazi zao, wengine wanapoteza, kuibiwa, kudondosha, kuharibika so mtu anahofu ya kuingia hasara kwa kununua simu ya ghali ilhali rahisi ipo na inafaa, kuna kilichoundwa/kutengenezwa kisiharibime? Hizo simu nyingine unauhakika kuwa haziharibiki?Masimu ya cheap ndo tatizo alafu utakuta simu zingine kama BlackBerry, Samsung etc zinauzwa bei poa tu ila jitu linang'ang'ania simu la kichina..,
Hivi wewe unatimiza kila kitu nyumbani kwako at 100%?
Masimu ya cheap ndo tatizo alafu utakuta simu zingine kama BlackBerry, Samsung etc zinauzwa bei poa tu ila jitu linang'ang'ania simu la kichina..,
Wakati mwingine fikiri kiduchu itakusaidia, wengine wanatumia simu rahisi kwasababu ya mazingira ya kazi zao, wengine wanapoteza, kuibiwa, kudondosha, kuharibika so mtu anahofu ya kuingia hasara kwa kununua simu ya ghali ilhali rahisi ipo na inafaa, kuna kilichoundwa/kutengenezwa kisiharibime? Hizo simu nyingine unauhakika kuwa haziharibiki?
Khaa!! Siyo kweli. Mie nina phantom huu mwaka 2 sasa inadunda tu. Walevi wengi hawadumu na simu
Mtu ananunua techno na power bank juu, hee ukinunua iPhone 6 si mutatembea na generator 😂😂😂👆
Wanakera sana kwa kweli hata mimi ninatumia h6 imeharibika wanasema nisubiri vifaa vitoke China mpaka ss zimepita zaidi ya wiki tatu hakuna lolote
Matumiz
Natumia TECNO zaidi ya mwaka sasa kiukweli apa nawasifia waCHINA maana simu ni ngumu haina scratchs na ipo vizuri ila Sumsung ambayo nilikua natumia ipo kwa fundi zaidi ya mwaka sijawahi ata ifata...Hivyo kutuaminisha kua simu za kiChina ni mbovu sio kweli sijui km ungenunua Apple ya mMarekani nayo ikikuaribikia ungetuambiaje? Nenda kwa Mafundi ucheki iPhone na Apple zilivyojaa.