Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

mwenzangu na mm tehee,haijawah kuzima,nlwah kununua htc nkaigawa,lakin x2-01 siwez mpa mtu ntaitumia mpaka izime yenyewe

Mkuu hii simu mm nmeivulia kofia,,,kwanza inakaa nachaji. Wakati wenye smartphone wakichaji kila lisaa mm nadunda nayo huku nikiendelea kuperuz internet....itaharibika tu kwakweli ila siiachi ng"o
 
nilinunua simu ya tecno h7, ipo ndani ya kipindi cha warranty, imeharibika, inazima bila mpangilio. Siku niliyoipeleka pale ofisini kwao samora, nhc 2nd floor, dar walii-flash bila kujua tatizo ni lipi, simu ikaendelea kuwa na lile tatizo, wakasema niwaachie tatizo ni hardware sio software.

Baada ya kuwafuatilia walisema wameagiza spea toka china, nisubiri wiki mbili, wiki mbili zimefika wanadai bado, walichukua spea toka kariakoo, haijafaa, hivyo nisubiri wiki mbili zaidi waagize toka china!

Nawasihi watanzania wenzangu kujiepusha na wachina na hizi simu za tecno, customer care zao ni mbovu, pia uwezo wa ufundi wao na katika hali ya kushangaza jeshi la polisi limedhihirisha hali ya ukandamizaji kipindi edward lowassa, anatua airpot ya musoma mjini muda huu akitokea kwenye mkutano tarime.

Mgeombea huyu amepata mapokezi mazuri sana vijana wamedeki lami kama km6 na kumuimbia nyimbo huku wakimsindikiza katika hotel aliyofikia. Cha kushangaza mkuu wa polisi mihayo, ameamuru polisi kupiga mabomu ovyo ovyo wananchi waliokuwa wanamsindikiza raisi mtarajiwa.

Ombi: Jeshi la polisi lijipime kama linapaswa kufanya uonevu wa namna hii. Wa simu zao ni wa mashaka.

Nawasilisha wakuu.
.

pamoja na samsung customer care zao mbovu.nilipereka s5.wakaniambia imengia ktk maji.wwkati si kweli.wakalamba tsh25.ikagoma.wakakataa
 

Attachments

  • Scr000052.jpg
    Scr000052.jpg
    12.6 KB · Views: 231
  • Scr000054.jpg
    Scr000054.jpg
    14.3 KB · Views: 205
  • Scr000055.jpg
    Scr000055.jpg
    15.4 KB · Views: 188
Nokia x2 yangu hii ninayo toka 2012 na bado inapiga mzigo...na ndio ninayo tumia kujidai hapa JF.

Kama hii ninayojidai nao mimi E5 tangu 2011!
 

Attachments

  • Scr000056.jpg
    Scr000056.jpg
    15.9 KB · Views: 221
Nokia ni habari ingine.
Mimi ninayo N 73 tangu 2005, nabadilisha housing tu, nashindwa kuiacha maana inapiga mzigo bila hofu.
 
Kuna hizi Tecno boom J7 nazo ni nzuri?

Popoma naona siasa zimekushinda umehamia kwenye hii id yako ya chai.
Tupia basi walau chai kidogo maana nimemiss story zako sana.
Au unasemaje Super Gala D?
 
Popoma naona siasa zimekushinda umehamia kwenye hii id yako ya chai.
Tupia basi walau chai kidogo maana nimemiss story zako sana.
Au unasemaje Super Gala D?

Bado nimebanwa sana na kampeni lakini soon nitarejea ulingoni........tengua kauli yako hizo huwa sio chai bwana
 
Mi nimepata kutumia tecno phantom A+ kwa karibia miaka miwili mpaka nilipoichoka na kuigawa kwa ndugu yangu. Ilikuwa poa sana na mpaka sasa ipo hivyo. Niliyempa amebadilisha betri tu wiki iliyopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom