Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

mm nina tecno t430,ipo poa,naingia jf,inatunza moto nikiwa na chat!nakaa nayo 1-2 days b4 recharging my battery!
 
natumia S6 ipo safi kabisa, ache vitu vya bei chee
 
Bidhaa feki zinaingia tu.... TBS mko wapi? Au mamlaka ya ukaguzi wa technology hakuna? Ccm
 
Nimeweka msimamo, HUAWEI, TECNO, n anything called phone designed by Chinese, I will never use.
 
Ina maana simu ilikuwa moja tu, waambie wakubadilishie halafu hiyo nyingine watengeneze wamuuzie mwingine au wakurudishie pesa yako.
 
That's business hawawezi kutengeneza simu ukae nayo miaka 5biashara zao zitadoda!
 
Nilinunua ipad ya tecno ilikuwa na sd ya 125mb nikaitoa nikaweka ya 32gb inapigakazi kinoma.
 
Hiyo simu toleo la zamani sijui kama spare bado wanatengeneza? Naiamini phantom miniZ ilipigwa fimbo na ndugai bado ikaendelea kurecord matukio kama kawaida na ikaserve yenyewe.

Umenichekesha sana, wachina wazee wa fursa wanatengeneza bidhaa zenye ubora wa kununuliwa na makundi yote ya wateja.
 
Huwawei na tecno sitaki kabisa kuziona! nilinunua h5 nilijilaumu sana kuzima zima ni mtindo mmoja
 
Hiyo simu toleo la zamani sijui kama spare bado wanatengeneza? Naiamini phantom miniZ ilipigwa fimbo na ndugai bado ikaendelea kurecord matukio kama kawaida na ikaserve yenyewe.

Umetisha mkuuu
 
Nimeweka msimamo, HUAWEI, TECNO, n anything called phone designed by Chinese, I will never use.

Acheni kukandia sana mchina wadau,mimi nina jamaa yangu alikuwa na Nokia Lumia 750 katumia 2 weeks tena alinunua huko huko samora,ilianza tatizo hilo la kuwaka na kuzima akawarudishia wakampa maelezo hayohayo ya kuwa imekufa hardware,baada ya kushindikana kupona wakamrudishia nusu ya hela alio nunulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom