Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Tecno ilinifia gafla na haijatengenezeka mpaka leo.nimemwambia fundi aitoe mochwari akazike mweyewe
 
Kuna tecno feki na tecno original,ukiona tecno yako inakusumbua ujue ni feki.
 
Huwawei na tecno sitaki kabisa kuziona! nilinunua h5 nilijilaumu sana kuzima zima ni mtindo mmoja

Mkuu ulinunua feki hiyo,mi H5 yangu nilinunua kariakoo na nikaiprove kama ni original na kila siku najiuliza nitanunua tena lini simu maana haina dalili hata ya kuharibika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom