Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

Maandish haya yameandikwa na tecno m3 ina mwaka wa tatu sasa haina tatizo
 
Pole sana. Siku ukiwa na Iphone alafu izingue hardware spare mpaka ziagizwe marekani.
 
Poleni sana,my NOKIA C3 IS STILL WORKING SINCE 2011 NA IMESHAANGUKA SANA,NASHINDWA KUHESABU MARA NGAPI

mimi huwa nasema kama.sina nokia basi sina simu,hz nyingne nimezigusa majanga kibao ila ukinunua nokia kwa kweli umemaliza yani huwa mpaka nagawa haijaharibika hongera san nokia.
 
Nokia x2 yangu hii ninayo toka 2012 na bado inapiga mzigo...na ndio ninayo tumia kujidai hapa JF.
mwenzangu na mm tehee,haijawah kuzima,nlwah kununua htc nkaigawa,lakin x2-01 siwez mpa mtu ntaitumia mpaka izime yenyewe
 
Hv samsung inatengenezwa wapi vile nikumbushe

Mkuu kutengenezwa china sio ishu, bali ishu ni ubora wa bidhaa, tecno ubora wake ni mdogo sana ukilinganisha na simu nyingine ambazo nazo zinatengenezwa china, mfano iphone zinakuwa designed california lakin assembling ni China. kwa hyo usikariri
 
Mimi ninatumia Techno H6 ambayo bado ipo ktk warrant lakini INA tatizo la Saudi (Nikipigiwa sisikii).Tecno ofisi zipo wapi ili wanirebishe tatizo t
 
Mimi na Samsung S2 leo mwaka wa nne na inadunda bado. Ilishaaanguka zaidi ya mara 10.
 
Mtoa mada kwanza pole sana,
Najua una hasira ila tecno sio simu mbovu isipokuwa we umepata toleo ambalo lilikuwa na manufacture/factory defect kibaya zaidi hili janga linayakumba karibia makampuni yote yanayozalisha simu.
Na ndio maana hata utaskia gari za Volkswagen nazo zinarudishwa kiwandani zikarekebishwe mfumo.
Ushauri ni we kununua simu nyengine maana hili janga hujitokeza mara chache.Utapata toleo zuri tu awamu nyingine.
 
Eeeemphhhhh!!! Afadhali umenitia moyo mkuu
 
Mm nimetumia tecno H6 karibu mwaka mzima sijawahi kupata tatizo na nilishaidondosha mara kadhaa
 
Miss you more
Nilidhani na wewe ni team fake 🙈🙈🙈🙈 lol

Teh teh no fake hapa kesho ntashinda masikioni mwako kutwa nzima😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom