Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Nenda kaishi kule uone kama unayosema ni kweli na yanaingia maanani. Kama ni mswahili utabaguliwa hadi uchukie hata dini yao. Waarabu si watu bali binadamu aka wanyama wenye dhambi kama madini yao yanavyobainisha. Kuna makafiri wengi huko kuliko nyinyi.
 
Wewe hukuishi huko.wale ni matajiri wa mafuta na gesi.mimi naishi kule hadi sasa.aliyekwambia hamna demokrasia nani huyo?demokrasia yao ni kuhakikisha kila mzawa anaishi maisha bora.kwa wazawa kila kitu bure.mikopo ya nyumba,kazi kibao,matibabu bure,elimu bure n.k.wazawa wanashiba mpaka kufuru.hilo peke yake ni demokrasia.kwani hata hapa kwetu watu wangeshiba kila siku kungekuwa na kelele au uchaguzi?
 
Ndo maana nikasema sisi Njaa (kukosa shibe) ndo ishu kubwa kuliko vyama, kampeni+kupanga mistari kupiga kura.
 
Keki ya Taifa inatafunwa na kundi la wahuni wachache wenye uroho wa hali ya juu.
Mkuu BAK kwanza POLE na msiba wa kitaifa vipi je mama SAMIA anaweza kuwa mfuta machozi yetu na kuharibu fofotu aliokuwa anaitumia HAYATI JPM?
 
Reactions: BAK
Ngoja tumuangalie Mkuu at least kwa miezi sita.
Mkuu BAK kwanza POLE na msiba wa kitaifa vipi je mama SAMIA anaweza kuwa mfuta machozi yetu na kuharibu fofotu aliokuwa anaitumia HAYATI JPM?
 
Kuna utajiri wa kumwaga, hivyo licha ya walio madarakani kuiba wanavyotaka, bado zipo za kuwahudumia wasio madarakani pia.
 
Unasema kweli ?
 
UAE (Abu Dhabi, Dubai na Sharja), Bahrain, Oman, Saudi Arabia, Qatar, Kuwait kote huko wanalalia mihela ya Mafuta sisi huku Kisiju tunagombania kobazi
 
Mimi ukisema MTANZANIA mmoja akioza wote wameoza tunapigana mpaka kiama.. nahakikisha nakudunda vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…