Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,564
- Thread starter
-
- #141
Somalia dini gan?Waarabu ni waislamu, miongozo ya dini imewasaidia.
Hata afrika kaskazini ya waarabu wao Wameendelea baada ya Uhuru. Hali kusini ni afadhali ya mkoloni arudi
Arabuni dini imewakolea ndo maana hamna ushenzi Kama Kisiju au Maneromango hukoo full Njaa na elimu hamnaWanubi tunataka kula SI demokrasia feki ya kimagharibi
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.
Kisiju huko Ni njaa imezid so hata dini mtu hajui inazungumza nnWaarabu ni waislamu, miongozo ya dini imewasaidia.
Hata afrika kaskazini ya waarabu wao Wameendelea baada ya Uhuru. Hali kusini ni afadhali ya mkoloni arudi
Oman karibuniSasa sisi ni matajiri ?
Huku hakuna decrasia na umasikini unazidi kutamaraki
Tukaribie tu bila michongo jamaniOman karibuni
TIC Wana information zote. Karibuni muwekeze nyumbaniTukaribie tu bila michongo jamani
Mwishowe tunyongwe
Nchi ulizotaja nimezitembelea na zingine nimeishi kabisa. Saudi Arabia unajua mtiti na purukushani za upinzani katika maeneo kama Qatif? Bahrain bila kuenda mbali. Manama mpaka leo upinzani ni moto wa kuotea mbali, Qatar na UAE wanafanya mambo katika mtindo wa people centered na haki sawa kwa wote ndio maana husikii chochote.
Saudia hawachekeani. Ukizingua unakula shabaSheikh Khalifa aliekuwa mfalme wa Bahrain ailiuwa watu wengi sana waliokuwa wanataka usawa
Saudia ukileta za kuleta unashulikiwa haswa
Hao wengine kidogo afadhali
Kweli maisha yapo ila usijiingize kwenye siasa za kupinga
Huko kote nimepita na zingine kufanya kazi mda mwingi
Saudia hawachekeani. Ukizingua unakula shaba