Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Kuna nchi haina watu maskini wenye kipato cha chini katika hii dunia au unaota?,hizo nchi ulizotembelea nadhani uliiishia katikati ya mji kama Dar es saalaam
 
Kama kiongozi akiwa na maono, utawala wa kiimla unaleta maendeleo haraka kuliko demon cratia kila mtu ana ndevu!
 
Nenda YEMEN mpaka nyumba za tembe zipo. Na vita ya kutaka kuwe na demokrasia inaendelea. HAWA SAWA NA SISI MIAKA 60 ya UHURU miaka 40 ya siasa zisizo na upinzani TEMBE KAMA KAWAIDA ZIMETAPAKAA. Tuangalie tena miaka 40 ya upinzani wenye nguvu nchi ITAGEUKA? Kwa sasa maeneo mengi mwanchi ana uwezo wa kujenga tembe hana tofauti na yule wa 1960. Yaani tuna uwezo wa mababu zetu basi. NAONA AIBU.
 
Wapi mtoa mada ameitaja YEMEN?
 
Waarabu ni waislamu, miongozo ya dini imewasaidia.
Hata afrika kaskazini ya waarabu wao Wameendelea baada ya Uhuru. Hali kusini ni afadhali ya mkoloni arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…