Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Kinachonikera kwenye Uhuru (demokrasia) ni hii tabia ya kupingapinga kila kitu, kuwekea mashaka kila kitu na kudharirisha viongozi Kwa maneno ya kukera. Tofauti na hapo, Uhuru ni mtamu na unaleta afya kuliko minofu ya nyama!!
 
Nchi yoyote yenye mafuta mengi inaweza kuendelea hata ikiwa na dikteta kwa sababu haina haja ya kutoza kodi watu wake. Raia huwa wakali na wafuatiaji pale ambapo wanatozwa kodi.
 
Wananchi wa Saudi Arabia hawajawahi kuchagua kuongozwa na Ufalme
 
Namba 3 ni uongo mkubwa
 
Uarabuni gan ww?? UAE inaongozwa na emirate ambao kila emirate inapiga kula kuchagua kiongozi wa Federal UAE

maendeleo hayana uhusiano na aina mfumo wa uongozi!!…
Ni kua tu na watu wenye akili na mtizamo yakinifu waongoze nchi!!…
shida nyingine n Nchi nyingi wenye akili ndogo ndo wanaongoza af akili kubwa inaongzwa
 
UAE hawachagui Rais kwa box la Kura Kama huko kwenu Ikwiriri! Ndo maana hawabadiliki zaidi ya kufa/kurithi.
 
Uarabuni wamesaidia na mfumo wa dini ya kiislamu ni mfumo bora na wa haki wa kuongozea jamii na mgawanyo SAwa wa raslimali za nchi.
 
Uongozi unatokana na mfumo, malezi, imani, sheria.
Mfano viongozi wajinga wenye upeo Mdogo ni zao la Jamii wajinga. Maana watu wajinga ndio uweka viongozi wajinga madarakani.
 
Waarabu wanajitawala wenywe, africa bado kwenye ukoloni mamboleo.

Mbinu wanazotumia wakoloni mamboleo baada ya uhuru wa bendera moja wapo ni kulazimisha demokrasia na kugombanisha.

pia kutoa misaada isiyo na mantiki, kuingia mikataba mibovu, kukopesha mikopo mikubwa, kuwaaminisha ni maskini, kujenga dhana ya vya magharibi bora, kuchukua nguvu kazi na talanta n.k.
 
Sisi kuendelea ni ndoto ni hadi tupate watu ambao ni matured.
Matured ni watu au mtu mwenye uwezo wa kushinda wizi, ufisadi, ubinafsi nk.

Itatuchukua miaka mingi sana kuwa hivyo kwani unamkuta mtoto hamuulizi baba yake kalamu
Kumbe kila siku anaiba shule na mzazi haulizi huyo mtoto anaandika na nini Mbona haniulizi kalamu?

Maisha yanaanza tangu udogoni Ndio maana ukikemea wizi humu wengi wanatakuambia Acha u snitch

Hapo ujue wao pia ni wizi tu
Kupata viongozi waadilifu ni nadra sana na wakitokea watapigwa vita hata kuuwawa kama unawazibia mianya ya kuiba
 
Ni ngumu kupata kiongozi muadilifu kwa Jamii isiyoadilifu.Fisadi,mwizi wa kalamu afungwi Sheria inamchomoa, huwezi kuta fisadi jela.Jela ni kwa ajili ya watu masikini wasio na pesa za kununua UHURU wao.
Ukiiba kidogo utafungwa miaka mingi sana ukiiba nyingi utalipa faini kidogo, uamuzi ni wako.
 
Vita ya Iraq,afghastan tumeona wakazi wengi tu wanaonafanana na wagogo kimakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…