johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.
Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!