Mwanaume akichepuka Anatakiwa Kusamehewa Ila Sio Mwanamke

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,681
11,124
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mwanamke mchepukaji ni hatari kuliko Sumu hivyo wanasisitiza kuwa mwanamke wako Akichepuka huyo ni wa kupiga chini.
Wanaume wenzangu ukigundua kuwa mke wako amekusaliti huyo ni wa kupiga chini mara moja.
Na nyie wanawake mumeo akikusaliti unatakiwa kumsamehe. Kwanini wewe uachwe na yeye umusamehe?

Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa ana mpenda mke wake ila kwa mwanamke hilo haliwezekani Kwa sababu mwanaume anaweza kupiga mechi ya ugenini bila kuwa na emotion attachment kitu ambacho ni tofauti Kwa mwanamke. Ukiona mwanamke wako amechepuka jua Kuna attaching emotions. This is the reason men simply need a place to have sex while women needs a reason to have sex.

Ukweli usemwe kuwa, Men don't equate sex with love. Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa hampendi mchepuko wake na ndio maana mara nyingi wale michepuko wa waume za watu kupata furaha kwao ni ngumu sana kwani wao ni vipizeo tu.

Tukija Kwa upande wa wake za watu habari ni tofauti. Mke wa mtu akianza kutoka na wewe ujue kakupenda na Kwa sababu kakupenda anaweza hata kukuambia Siri za mumewe zote bila kusahau kukueleza jinsi asivyo mpenda mume wake.

Hii ni kwa sababu kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti ila Kwa mwanamke ni kitu kimoja, ikiwa na maana kwamba Kwa mwanaume ngono kwanza mapenzi baadae (infatuation) ila Kwa mwanamke mapenzi kwanza ngono baadae.

Hivyo basi pale itakapotokea mwanamke wako kaanza kutembea na mwanaume mwingine Upendo wake kwako utahamia kwa yule mwanaume na hapo ndipo atakapokuwa anapewa vitu hadimu hata ambavyo hujawahi kupewa na hata ukiviomba huwezi kupewa, mfano ule mtandao pendwa wa 0713.

Wataalamu mahusiano wanatushauri wanaume kuwa kamwe tusiendekee kuishi na wanawake wachepukajivmaana ni hatari Sana. wanaendelea kusema kama utaendelea kuishi na mwanamke mchepukaji utakuwa na bahati sana kama hutakufa ndani ya miaka 10.

Inasemekana kwamba Duniani asilimia 95% ya wanawake wanaochepuka wanatamani waume zao wafe ili wawe huru; mwanamke anaweza kukuwekea hata Sumu endapo mchepuko wake atamshawishi kufanya hivyo; na hii ndio maana Tunasema ni hatari kuendelea kuishi na mwanamke mchepukaji.

Cheating women are more deadly to husbands than ordinarily criminals ama silaha za maanganizi hii ni Kwa sababu they can't handle the emotional conflict that comes with cheating.

Nimalizie Kwa kusema ndugu zangu kama umeshawahi fumania mke wako chukua hatua Sasa

NB: huu Uzi unawahusu wife material na sio machangudoa.

Sina ugomvi na mtu ni ushauri tu nimetoa
 
Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja, Jukumu la mwanaume ni kusambaza upendo. Mwanaume hachepuki mwanaume anatimiza majukumu ila tuu asiwe huyo mwanamke ni mke wa mwanaume mwezako

Mwanamke mwenye mwanaume zaidi ya mmoja ni malayer na aliyeliwa/kuzaa na mwanaume zaidi ya mmoja huku sii mjane aliyefiwa na mumewe ndoa ikiwa hai ni kahaba
 
hakuna anaesamehe usaliti, msamaha wa wanawake ni mtego, jiandae kwa pigo za kimya kimya.

Inshort the day your woman caught you cheating consider you are two men in that relationship
 
Sijasikia kuwa mwanaume anamuuwa mke wake ili awe huru zaidi, ila wanawake wanauwa ili wawe huru zaidi. Mwanaume hata achepuke ila upendo anaacha kwa mkewe, ila mwanamke mchepukaji anahamishia upendo woooooote kwa mchepuko. Anaona mchepuko kama mkunaji mzuri na wakumfikisha anapotaka.
 
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mwanamke mchepukaji ni hatari kuliko Sumu hivyo wanasisitiza kuwa mwanamke wako Akichepuka huyo ni wa kupiga chini.
Wanaume wenzangu ukigundua kuwa mke wako amekusaliti huyo ni wa kupiga chini mara moja.
Na nyie wanawake mumeo akikusaliti unatakiwa kumsamehe. Kwanini wewe uachwe na yeye umusamehe?

Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa ana mpenda mke wake ila kwa mwanamke hilo haliwezekani Kwa sababu mwanaume anaweza kupiga mechi ya ugenini bila kuwa na emotion attachment kitu ambacho ni tofauti Kwa mwanamke. Ukiona mwanamke wako amechepuka jua Kuna attaching emotions. This is the reason men simply need a place to have sex while women needs a reason to have sex.

Ukweli usemwe kuwa, Men don't equate sex with love. Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa hampendi mchepuko wake na ndio maana mara nyingi wale michepuko wa waume za watu kupata furaha kwao ni ngumu sana kwani wao ni vipizeo tu.

Tukija Kwa upande wa wake za watu habari ni tofauti. Mke wa mtu akianza kutoka na wewe ujue kakupenda na Kwa sababu kakupenda anaweza hata kukuambia Siri za mumewe zote bila kusahau kukueleza jinsi asivyo mpenda mume wake.

Hii ni kwa sababu kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti ila Kwa mwanamke ni kitu kimoja, ikiwa na maana kwamba Kwa mwanaume ngono kwanza mapenzi baadae (infatuation) ila Kwa mwanamke mapenzi kwanza ngono baadae.

Hivyo basi pale itakapotokea mwanamke wako kaanza kutembea na mwanaume mwingine Upendo wake kwako utahamia kwa yule mwanaume na hapo ndipo atakapokuwa anapewa vitu hadimu hata ambavyo hujawahi kupewa na hata ukiviomba huwezi kupewa, mfano ule mtandao pendwa wa 0713.

Wataalamu mahusiano wanatushauri wanaume kuwa kamwe tusiendekee kuishi na wanawake wachepukajivmaana ni hatari Sana. wanaendelea kusema kama utaendelea kuishi na mwanamke mchepukaji utakuwa na bahati sana kama hutakufa ndani ya miaka 10.

Inasemekana kwamba Duniani asilimia 95% ya wanawake wanaochepuka wanatamani waume zao wafe ili wawe huru; mwanamke anaweza kukuwekea hata Sumu endapo mchepuko wake atamshawishi kufanya hivyo; na hii ndio maana Tunasema ni hatari kuendelea kuishi na mwanamke mchepukaji.

Cheating women are more deadly to husbands than ordinarily criminals ama silaha za maanganizi hii ni Kwa sababu they can't handle the emotional conflict that comes with cheating.

Nimalizie Kwa kusema ndugu zangu kama umeshawahi fumania mke wako chukua hatua Sasa

NB: huu Uzi unawahusu wife material na sio machangudoa.

Sina ugomvi na mtu ni ushauri tu nimetoa
"Kila nikitafakari jinsi Ke alivyomnbong'olea style ya popo kanyea mbingu hakika najikuta nikinyatiwa nyatiwa na kesi ya usababishi wa ulemavu au utoaji uhai wa Mtu, ni heri nibaki msela tu" alisikika Pimbi akidai yeye ndiye Me aliye sirias sana na upwiru...

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume hatuchepuki bali tunaexpand our kingdom.
Nature haidanganyi angalia wanyama wanavyoishi dume moja linamiliki majike kibao.
Kwa kweli wazungu walituletea ustaarabu wa kijinga sana ambao wao wenyewe umewashinda wamekimbilia kutatuana marinda.
 
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mwanamke mchepukaji ni hatari kuliko Sumu hivyo wanasisitiza kuwa mwanamke wako Akichepuka huyo ni wa kupiga chini.
Wanaume wenzangu ukigundua kuwa mke wako amekusaliti huyo ni wa kupiga chini mara moja.
Na nyie wanawake mumeo akikusaliti unatakiwa kumsamehe. Kwanini wewe uachwe na yeye umusamehe?

Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa ana mpenda mke wake ila kwa mwanamke hilo haliwezekani Kwa sababu mwanaume anaweza kupiga mechi ya ugenini bila kuwa na emotion attachment kitu ambacho ni tofauti Kwa mwanamke. Ukiona mwanamke wako amechepuka jua Kuna attaching emotions. This is the reason men simply need a place to have sex while women needs a reason to have sex.

Ukweli usemwe kuwa, Men don't equate sex with love. Mwanaume anaweza kuchepuka na Bado akawa hampendi mchepuko wake na ndio maana mara nyingi wale michepuko wa waume za watu kupata furaha kwao ni ngumu sana kwani wao ni vipizeo tu.

Tukija Kwa upande wa wake za watu habari ni tofauti. Mke wa mtu akianza kutoka na wewe ujue kakupenda na Kwa sababu kakupenda anaweza hata kukuambia Siri za mumewe zote bila kusahau kukueleza jinsi asivyo mpenda mume wake.

Hii ni kwa sababu kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti ila Kwa mwanamke ni kitu kimoja, ikiwa na maana kwamba Kwa mwanaume ngono kwanza mapenzi baadae (infatuation) ila Kwa mwanamke mapenzi kwanza ngono baadae.

Hivyo basi pale itakapotokea mwanamke wako kaanza kutembea na mwanaume mwingine Upendo wake kwako utahamia kwa yule mwanaume na hapo ndipo atakapokuwa anapewa vitu hadimu hata ambavyo hujawahi kupewa na hata ukiviomba huwezi kupewa, mfano ule mtandao pendwa wa 0713.

Wataalamu mahusiano wanatushauri wanaume kuwa kamwe tusiendekee kuishi na wanawake wachepukajivmaana ni hatari Sana. wanaendelea kusema kama utaendelea kuishi na mwanamke mchepukaji utakuwa na bahati sana kama hutakufa ndani ya miaka 10.

Inasemekana kwamba Duniani asilimia 95% ya wanawake wanaochepuka wanatamani waume zao wafe ili wawe huru; mwanamke anaweza kukuwekea hata Sumu endapo mchepuko wake atamshawishi kufanya hivyo; na hii ndio maana Tunasema ni hatari kuendelea kuishi na mwanamke mchepukaji.

Cheating women are more deadly to husbands than ordinarily criminals ama silaha za maanganizi hii ni Kwa sababu they can't handle the emotional conflict that comes with cheating.

Nimalizie Kwa kusema ndugu zangu kama umeshawahi fumania mke wako chukua hatua Sasa

NB: huu Uzi unawahusu wife material na sio machangudoa.

Sina ugomvi na mtu ni ushauri tu nimetoa
Funguo inayofungua kila kufuli ni ya thamani kubwa, wanaita Master Key, inatunzwa na kuhifadhiwa vizuri..

Kwa upande mwingine, Kufuli inayofunguliwa na kila funguo haifai kabisaa, ni hatari kwa usalama, inatupwa jalalani chap
 
Back
Top Bottom