The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
Kuna wanawake waliokamilika?
tupo tupo tupooo..
idara gani? Hebu zitaje....nashukuru wangu amekamilika idara zote....
Weka features zako hapa
Rangi?
Uzito?
Ukubwa/udogo wa matiti?
Makalio?
Nyonga?
Elimu?
GPA?
Kipato?
Usafi?
Weka features zako hapa
Rangi?
Uzito?
Ukubwa/udogo wa matiti?
Makalio?
Nyonga?
Elimu?
GPA?
Kipato?
Usafi?
ngarambeHapo GPA maana yake nini
Kumbe upo dunia hii bado. klorokwiningarambe
GPA = Global Publishers Anniversary.
Ufafanuzi: ni siku ya sherehe za kuanzishwa magazeti ya udaku.
Naomba unishkuru kwa kukusaidia.
Asante
Rejao umenikonfyuzi na kanumba nini?Kumbe upo dunia hii bado. klorokwini
ngarambe
GPA = Global Publishers Anniversary.
Ufafanuzi: ni siku ya sherehe za kuanzishwa magazeti ya udaku.
Naomba unishkuru kwa kukusaidia.
Asante