U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

CCM walivyokua na vichwa vibovu usishangae kusikia Waziri mkuu nae ni mwanamke kisa wanataka sifa za kijinga kuonekana wanajali Gender
 
Makamba hana jipya, kazi kupenda vimwana, ndiyo maana alifukuzwa ualimu shule ya msingi!!!
 
Hiyo ilikua njama ya kumuengua Sitta usanii wa CCM kweli unatia aibu.Makamba kama kweli mlikua na lemgo la kuwaweka wanawake madarakani hili linganzia kwako kumwaga manyanga na kumwachia mmoja ya waliotajwa hapo juu au hata JK mwenyewe.Kwani madudu iliyoyafanya na unaendelea kuyafanya nia aibu kwa CCM na watanzania Tunajua umri unakutupa mkono lakini fikiria wanao n,wajukuu wako na Tanzania ya kesho kwa sababu kauli na utendaji wako inajari leo kesho sintokuepo.MUNGU IBARIKI TANZANIA
mafisadi ndio wanapanga nchi iendeshwe vipi wewe tulia tu hadi miaka yenu ifike mje kujiendesha wenyewe subirini hadi kizazi chao kiishe upo wao bado unafanana na ule wa kikoroni poleni sana
 
Mungi nimependa comments zako, zimejaa uchungu tena wa moyoni lakini pia imenitisha kwamba kuna elements za kukata tamaa. Ngoma ndo kwanza imeanza kulia usijali mpiganaji. Watapukutika kama vibaya wote hawa na vizazi vyao, kumbuka kilio cha watu ni ilio cha Mungu. Cha msingi ni kujipanga taratabu kwa miaka mitano ijayo, hakuna kulala
 
Unajua mpango ulisha pangwa kuhakikisha kwanza, Ana makinda anarudi Bungeni maana sijajua hata kwanini Njombe kusini hakupata mpinzani wakati majimbo mengine yote ya Njombe yalikuwa na upinzani mkali na Njombe kusini ndio mjini. Ila najua kuna kitu kilisukwa huko.
Na inasemekana kuwa kugombea uspika ameshinikizwa sana na hao jamaa wa upende na wakati huohuo dili lilisha sukwa kuwa chenge agombee na aeleze mbele ya vyombo vya habari ili kuzusha mjadala juu ya sika. Alijua kabisa hata pita .
Sasa sisiem2 wameshinda hatuja jua kwa kura ngapi, ila kuna uwezekano wa upinzani kushinda hicho kiti kama kura za maoni zilivyo visaidia vyama vya upinzani. Ila 2015 nakuja kukutoa ubunge huko Njombe kusini .
 
nafikiri mzee Sitta atakuwa PM wa JK, nina bashiri. Inawezekana amejifunza makosa aliyoyafanya 2005 na sasa hataki kurudia tena. Ila tatizo nina wasiwasi kama utatu wao na mzee makamba utaiva. Just thinking aloud and trying to be optimustic ili nisiendelee kufa moyo zaidi for another five yrs
 
Kama hii ni kweli Mag3 sitashtuka hata kidogo kwani;

  • Hakuna ubishi tena kuwa CCM ni Chama cha Mafisadi.
  • Hakuna ubishi tena kuwa ndani ya CCM hakuna aliye msafi.
  • Hakuna ubishi tena kuwa CCM ni pango la walafi, wanafiki na wezi.
  • Hakuna ubishi tena kuwa adui mkubwa wa Watanzania ni CCM.
Sitashangaa Sitta akipewa kula kumpoza halafu huyo huyo kwa unafiki akaushukuru uongozi wa Kikwete na kuwatupia madongo wapinzani, subirini tu ! Na la kusikitisha zaidi hakuna ubishi tena kuwa CCM haitaondolewa madarakani kwa amani kupitia kura. Huo ndio ukweli ingawa ni mchungu na unauma. Kama kuna yeyote mwenye lengo la kuinusuru Tanzania, hawezi kuendelea kubaki ndani ya CCM na yule atakayeshirikiana na CCM ni msaliti tu, period.
 
MAKAMBA,LOWASSA,KIKWETE,KINANA( msomalia),Rostam (muirani) nawahkikishia hili nalo litapita na nchi yetu itabaki mlaniwe na vizazi vyenu vyote. siku zinakuja mtalia na kusaga meno.

Rostam(Mpakistan/Taliban - kule kwenye mpaka na Afghanistan wanakolipua misikiti kila Ijumaa).
 
Hii imedhihirisha mambo mawili kwanza uwezo wa Kikwete kuwa kionmgozi wa nchi ni mdogo sana hakufaa kuwa rais sura ndiyo iliyomsaidia kufika hapo na si uwezo alistahili kuwa waziri wa michezo na utamaduni ni jambo la kushangaza kwake yeye kushindwa kusoma dalili za nyakati na kufuata matakwa ya mafisadi, pili maneno ya Mwalimu Nyerere yametimia mwalimu aliwahi kusema Rais anapowekwa madarakani na kundi la watu wachache hatawatumikia wananchi isipokuwa atawatumikia waliomuweka madarakani Kikwete anawatumikia Edward Lowassa, Rostam Aziz, Nazir Karamagi, Sophia Simba, Andrew Chenge, Yussuf Makamba, Lawrence Masha, Msabaha, Bernard Membe na wengine wengi wanamtandao waliomuweka madarakani badala ya kutumikia taifa.

Ila kuna kitu Kikwete anasahau kuwa Samuel Sitta ndiye aliyekuwa anamsaidia kisheria na kutengeneza kauli mbiu pia kuwaelimisha wazee wa chama kuwa Kikwete anafaa maana watu wengi walimuona ni mhuni na hafai kuwa rais ahata kidogo kwa maneno mengine pasipo yeye pesa za Rostam na Lowassa zisingempleka ikulu.

Kitu kimoja Kikwete na kundi lake waelewe kuwa kwa mafyongo ya kuondoa jina la Sitta kufurahisha mafisadi nchi sasa iko wazi kwa vyama vya upinzani 2015 kwa sababu wananchi wameishajua hila zote za CCM kuwa haiwatakii watanzania maisha mema isipikuwa wao CCM wameigeuza Tanzania kuwa sehemu ya miradi ya familia zao
Hapo nimeelewa mkuu!!
 
Hii kali wajameni topetope kuna Vikao viliahirishwa na Naibu Spika mwanamama kuhusu Richmond (Tume ya Mwakyembe) eti mpaka aje Spika SITTA alikuwa ziarani Marekani wakaahirisha Kikao na alipokuja kweli Bunge lilimtimua Lowassa
Leo kina mama wapewe Uspika
Kwa mara ya kwanza kura za leo asubuhi MWANAMKE ANAANGUKA CHALI anachukua mwanamme MABERE
 
Chadema inaonekana mkilala mnamuota Makamba. lol. Mkiamka mnamuota Makamba. Hamjakaa sawa, kuna January Makamba. Mkizunguka Makamba.

Look, who Allah bless, no man curse!
 
Kwa staili hii Mabere marando anaweza kupata nafasi ya Uspika kwani tunahitaji wabunge 72 tu kutoka CCM

Kama kura zinapigwa kwa siri, then Marando anaweza kuibuka mshindi. Lakini kama ni kura za wazi kuwa wanajua nani kampigia kura nani, itakuwa ngumu kuwapata hao wabunge 72 wa CCM. Nina hakika kuna wabunge wa CCM zaidi ya 80 watakuwa hawampendi huyo Makinda kwa sababu ya udikteta wake but kukataa kumpigia kura kwa uwazi ni ngumu, wanaogopa kushughulikiwa. Let us pray.
 
Hawa jamaa watatuuwa na wastaafu. Kila spika anayestaafu anapewa gari jipya, na ataendelea kupata 80% ya mshahara wa spika aliyeko madarakani kwa maisha yake yote.... je ileofisi ya spika Urambo itatumika kwa ajili ya nini?

Hiyo ndiyo SISIEMU. Watanzania tunayaona haya tunadai kuwa ndivyo tulivyo.....REALLY???
 
Makinda ni mkoloni yaani tutaludi enzi za Msekwa NIMESEMA KAAA CHINI
Marando anaweza chukua uspeaker bse kama chadema wako 45 then plus CUF NA NCCR na Wabunge wa CCM wasiompenda mama Makinda.
Mkuu nyumba ya sita si ilikuwa 500million?

Wabunge wa CCM washapigwa msasa na kuambiwa Makinda ndiye Spika mpya. Kwa hiyo hizo habari za sijui Marando, Abdallah, Kamba ni mazungumzo baada ya habari! Hii ni kutokana na vyanzo vya habari vya uhakika.
 
Kwa kweli Huu ni mwaka wa chadema,MARANDO atakuwa spika,
AKipata za(chadema+CUF+NCCR+TLP+UDP+CCM kambi ya Sitta=46+33+4+1+1+120=205,

Bingwa hesabu yako nimeipenda, assume wapinzani wote wamevote kwa Marando, sasa 2tafute posibility ya kupata 120 ndani ya ccm
1 Sitta
2 Mwakyembe
3
 
Kama kura zinapigwa kwa siri, then Marando anaweza kuibuka mshindi. Lakini kama ni kura za wazi kuwa wanajua nani kampigia kura nani, itakuwa ngumu kuwapata hao wabunge 72 wa CCM. Nina hakika kuna wabunge wa CCM zaidi ya 80 watakuwa hawampendi huyo Makinda kwa sababu ya udikteta wake but kukataa kumpigia kura kwa uwazi ni ngumu, wanaogopa kushughulikiwa. Let us pray.

Kulingana na katiba, uchaguzi wa Spika na naibu Spika hufanywa kwa kura ya siri lakini huendeshwa kwa kufuata utaratibu uliowekwa na kanuni za Bunge - labda na katiba nayo ikachakachuliwe ha hah ha !
 
6 naye alikuwa fisadi tu; atatumiaje fedha za umma eti kujenda ofisi ya spika jimboni kwake kama vile alikuwa spika wa maisha
 
Back
Top Bottom