Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

baada ya familia ya mdengereko kumaliza ngwe yake sasa ni zamu ya familia ya n'shambaaa...teh teh
 
..."an irrelevant person who think he is it"?
Haha huyu dada huwa ana shida kweli ,anapenda sana kujiwasikisha km mtoto wa kitasha hadi anatia kinyaa.Cha kufurahisha ni kwamba kigwangala na kiwango chake duni huku kikijaziwa utasha wake uswahilini kawaacha.Nimeona alipoandika kuwa Hajakipenda kitabu cha Makamba.Huyu dada kwa vile hawezi soma bn lines analazimisha kupendwa yeye na awapendao.Hizi ndizo akili za watawala wetu hata ktk mambo yanayohitaji chance moja ktk life.
 
..."an irrelevant person who think he is it"?

Mkubwa Ben, nimejaribu kutafakari nini hii sentensi inataka, nkatoka kapa. Nkaenda kula ugali, niliporudi kkuisoma tena, nkaanza kupata nini alitaka kumaanisha. Tutumie tu Kiswahili chetu jamani. Mbona tunalazimisha mambo? Au tweeter ni mwendo wa kizungu zaidi? hahahaha
 
kingereza kiko sawa tu..nyie ndo mnataka kingereza kiwe kama unavyotaka nyie! mbona anaeleweka vizuri!! jadilini swali alilouliza!! kama mwenye kuambiwa yupo ajipambanue! Watz bwana kama haelewi concept anakimbilia kukosoa kingereza!!!
 
Anamuharibia kaka yake.

Kaka yake anajifoji vizuri kama mtu wa watu, aliyelelewa na kufundwa kutoka familia yenye maadili, anaheshimiana na watu etc.

Halafu dada mtu hivi kaka hajapata urais ndiyo nyodo hizi, akiwa rais si watakufa watu hapa?

Kama nilivyoandika hapo juu, bidada ameonyesha ignorance yake tu kwa kuuliza swali ambalo halijakamilika.

There is no such thing as an irrelevant person.

Irrelevant to whom? To what?

Bora angeongea lugha yetu ya Taifa.
 
Hii English haina tofaut na ile ya"this year we have manufactured 4000 teachers
 
kingereza kiko sawa tu..nyie ndo mnataka kingereza kiwe kama unavyotaka nyie! mbona anaeleweka vizuri!! jadilini swali alilouliza!! kama mwenye kuambiwa yupo ajipambanue! Watz bwana kama haelewi concept anakimbilia kukosoa kingereza!!!

Nyamayao yuko wap mkuu
 
Mwamvita baada ya Mange Kimambi kumuacha huchi, nadhani angejifunza akawa kimya kwenye mambo mengine. Nakumbuka mchongo wa enzi zile Mange Kimambi alilamba $3,000 kutoka kwa Ngeleja akaanza kumchafua Mwamvita huku ni shoga yake, ushoga wa kinafiki wa mjini akaja kumnanga mwenzio anavouza nyapu kwa hela mbuzi........Kuanguka kwa Mwamvita ilitokana na Mange Kimambi, pale Voda alitemwa kiaina kisa ni Mange

Ikaja nyumba ya pale Mayfair, kasambazaa wee, isiishie hapo, akaanza kumsema mabaya kwa mashosti alivyomfilisi yule mu australia na kumpiga PI na kakake Januari haki kumnyang'anya nyumba anayokaa January pale Masaki. Maamvita afike ananyamaza....anamuharibia kakake kusema kweli

Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola milioni mbili kwa ajili ya kampeni, alionekana mkali, mwenye hasira kali sana dhidi ya mpinzani mkuu wa kaka yake, ambaye hivi karibuni amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa kuonesha uzalendo wake kwenye sakata la escrow.
 
Huwa najiuliza wanapataje kazi nzuri hivyo na hiyo poor English wanayoongea?Oh yeah it's favoritism!

Ukitaka kujua km unajua kiingereza,wewe ongea ukiwa na hasira......weeeeeee 😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂unashuka tuuuuu
 
Tatizo ni JK, yaani watu wanaona kama kaweza uraisi nani atashindwa, sasa hawa vijana wadogo hata vitovu vyao havijakauka sawasawa wanataka urais, yaani urais umekuwa rahisi kuliko umwenyekiti wa kijiji?.........Mwaka huu tutaona mengi,
 
Back
Top Bottom