Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

View attachment 224053View attachment 224053

Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola milioni mbili kwa ajili ya kampeni, alionekana mkali, mwenye hasira kali sana dhidi ya mpinzani mkuu wa kaka yake, ambaye hivi karibuni amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa kuonesha uzalendo wake kwenye sakata la escrow.

shakaza ya kimombo
 
The language I don't have a bone to pick with. It is the content I abhorr.

Sometimes structure ya sentence inaweza leta maana tofauti na content iliyokusudiwa ikapotea....

Ila hata Mimi nilibaki najiuliza irrelevant kwa nani na kwa kipi?

Hivi umewahi pata muda Wa kusoma hicho kitabu cha JM?
 
Mkuu,
Hata mie kwa kweli nimetoka Kapa.
Kwa uelewa wangu mdogo wa hii Lugha,hapa sijui mwana Dada MwaWar Marope alikuwa ana maana gani

Ha ha ha pengine alitaka kuonesha Kigwangallah ni mwanasiasa irrelevant kwa siasa za Tanzania pengine anahisi matendo yake yako irrelevant na siasa au yale anayosimamia....

Yeye anaweza kuwa na jibu zuri zaidi kuonesha nini alimaanisha badala ya kutuacha hewani maana unaposema irrelevant au relevant lazima uoneshe kwa kipi au kwa nani?

Sio Mara Moja au mbili huyu dada huwa anaandika vitu ambavyo sidhani Kama hata yeye anavielewa halafu kwa nafasi aliyonayo unabaki kushangaa anaimudu vipi....
 
Sometimes structure ya sentence inaweza leta maana tofauti na content iliyokusudiwa ikapotea....

Ila hata Mimi nilibaki najiuliza irrelevant kwa nani na kwa kipi?

Hivi umewahi pata muda Wa kusoma hicho kitabu cha JM?

Mistakes za spelling kibao.
 
Dude, please. That ain't no slang expression. Nobody would phrase it that way. Its obvious she made it up.

Kabla ya kubisha, kwanza hakikisha jibu lako. Mimi sina papara na kila ninachokiandika hapa. Utaumbuka bure. Haya soma hapo chini halafu bisha tena nikuongezee darasa.

When you say, "you are it" to someone, it can mean that the person is great/awesome to you in some way or if you have chosen the person for something. (Slang).

Awesome- Kiingereza cha Marekani, Mtu ana sifa nzuri/ tabia nzuri.

Eg. If someone has a great singing talent someone might say "This is it" or "You have it" about the singing, or "You are it" about the person. (Slang)

Talent--- kipaji kizuru.

Eg. If you go to a job interview and afterward the interviewer says, "you're it," then you got the job. (Slang)

Hapa inamaanisha umefanikiwa katika kazi baada ya interview. Sawa na kushinda maisha kwa kipaji kizuri au somo kushinda wenzako.

What does it mean if a person called me "irrelevant"? (Slang)

It means you don't matter at all. He's indifferent to you.

Irrelevant- hapa katika sentesi inamaanisha wewe huna umuhimu wowote katika jamii. Hung'ai kwa chochote.

Kumbuka kuna tofauti ya maana halisi ( literal) na maana ya mfano ( figurative) katika lugha.

Source: dictionary.reference.com
 
View attachment 224053View attachment 224053

Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola milioni mbili kwa ajili ya kampeni, alionekana mkali, mwenye hasira kali sana dhidi ya mpinzani mkuu wa kaka yake, ambaye hivi karibuni amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa kuonesha uzalendo wake kwenye sakata la escrow.

Hizi lugha za watu sio za kujishaua nazo aisee.

Yani mtu anaandika kama kuku aliyetoka kutamia mayai-all over the damn place.

Huyo ni mkuu wa kitengo cha shirika daslamu.

Kazi mnayo.vichwa maji mmejaziwa kila kona.
 
kingereza kiko sawa tu..nyie ndo mnataka kingereza kiwe kama unavyotaka nyie! mbona anaeleweka vizuri!! jadilini swali alilouliza!! kama mwenye kuambiwa yupo ajipambanue! Watz bwana kama haelewi concept anakimbilia kukosoa kingereza!!!

Dude Pleaaaaaaaaaaaaase.

Hicho kiingereza hakipvuki grade 5.

Hebu usitufanye tugeuke grammar Nazis.

Mie hushauri watu,kama lugha ya malkia ngumu, andika kiswahili tu.
 
Kabla ya kubisha, kwanza hakikisha jibu lako. Mimi sina papara na kila ninachokiandika hapa. Utaumbuka bure. Haya soma hapo chini halafu bisha tena nikuongezee darasa.

When you say, "you are it" to someone, it can mean that the person is great/awesome to you in some way or if you have chosen the person for something. (Slang).

Awesome- Kiingereza cha Marekani, Mtu ana sifa nzuri/ tabia nzuri.

Eg. If someone has a great singing talent someone might say "This is it" or "You have it" about the singing, or "You are it" about the person. (Slang)

Talent--- kipaji kizuru.

Eg. If you go to a job interview and afterward the interviewer says, "you're it," then you got the job. (Slang)

Hapa inamaanisha umefanikiwa katika kazi baada ya interview. Sawa na kushinda maisha kwa kipaji kizuri au somo kushinda wenzako.

What does it mean if a person called me "irrelevant"? (Slang)

It means you don't matter at all. He's indifferent to you.

Irrelevant- hapa katika sentesi inamaanisha wewe huna umuhimu wowote katika jamii. Hung'ai kwa chochote.

Kumbuka kuna tofauti ya maana halisi ( literal) na maana ya mfano ( figurative) katika lugha.

Source: dictionary.reference.com

Mkuu huyo ndjabu kiranga na nyani ngabu ndio walimu wetu wa kiinglish hapa jamvini,angalia usije ukaumbuka...anyway mie ngoja nikae pembeni nisome 'you are it' inatumikaje... 😳
 
Soon kun avimeo wataanza kutetea pijin english ya wapopo kama Kiingereza.

yani hapo ni hakuna cha slang wala mjomba wake slang, hapo nimeona direct translation kutoka kisambaa/kidigo/kiswahili neno kwa neno.

Huyu mgozi anatia aibu.
 
Yatasemwa mengi sana kutoka kwa wengi sana ila wengi kati yao hawafai na wanajua hawafai ila wana roho ngumu sana!!!!
 
Mkuu huyo ndjabu kiranga na nyani ngabu ndio walimu wetu wa kiinglish hapa jamvini,angalia usije ukaumbuka...anyway mie ngoja nikae pembeni nisome 'you are it' inatumikaje... 😳

Sio wote tumekwenda shule moja. Kila mtu na akili yake. Bora ukae pembeni uelimike. Kuna mifano mingi tu katika mtandao ila Watanzania ni wavivu wa kutumia ubongo.
 
Kabla ya kubisha, kwanza hakikisha jibu lako. Mimi sina papara na kila ninachokiandika hapa. Utaumbuka bure. Haya soma hapo chini halafu bisha tena nikuongezee darasa.

When you say, "you are it" to someone, it can mean that the person is great/awesome to you in some way or if you have chosen the person for something. (Slang).

Awesome- Kiingereza cha Marekani, Mtu ana sifa nzuri/ tabia nzuri.

Eg. If someone has a great singing talent someone might say "This is it" or "You have it" about the singing, or "You are it" about the person. (Slang)

Talent--- kipaji kizuru.

Eg. If you go to a job interview and afterward the interviewer says, "you're it," then you got the job. (Slang)

Hapa inamaanisha umefanikiwa katika kazi baada ya interview. Sawa na kushinda maisha kwa kipaji kizuri au somo kushinda wenzako.

What does it mean if a person called me "irrelevant"? (Slang)

It means you don't matter at all. He's indifferent to you.

Irrelevant- hapa katika sentesi inamaanisha wewe huna umuhimu wowote katika jamii. Hung'ai kwa chochote.

Kumbuka kuna tofauti ya maana halisi ( literal) na maana ya mfano ( figurative) katika lugha.

Source: dictionary.reference.com

.. so "HOW do you call an irrelevant person who think HE IS IT"?
 
Sio wote tumekwenda shule moja. Kila mtu na akili yake. Bora ukae pembeni uelimike. Kuna mifano mingi tu katika mtandao ila Watanzania ni wavivu wa kutumia ubongo.

Haya mkuu,you are it!!!!!!!!😆😆😆😆😆😆😆😆😆😕😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Anamuharibia kaka yake.

Kaka yake anajifoji vizuri kama mtu wa watu, aliyelelewa na kufundwa kutoka familia yenye maadili, anaheshimiana na watu etc.

Halafu dada mtu hivi kaka hajapata urais ndiyo nyodo hizi, akiwa rais si watakufa watu hapa?

Kama nilivyoandika hapo juu, bidada ameonyesha ignorance yake tu kwa kuuliza swali ambalo halijakamilika.

There is no such thing as an irrelevant person.

Irrelevant to whom? To what?
Kiranga,
It's true!

Politics haina tofauti na biashara ambayo inahitaji marketing skills

Ningetarajia kwa position ya dada ambaye ana experience ya PR angejitahidi zaidi kumjengea brother PR kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote

Hastahili kwenda kwenye direct confrontation na opponents wa kaka kwa sababu kwanza itajenga picha mbaya na ni negative PR

January nae kulingana na exposure aliyonayo ni lazima awe amewaandaa watu wake wa Karibu kwenye family kuepuka kufanya au kusema maswala ambayo yatatumika na wapinzani wake kummaliza

Hili tayari ni doa.Unaweza kuweka mikakati mikubwa ikaja kuwa ruined na vitu vidogo kama hivi.

Katika kinyang'anyiro cha Urais 2008 nchini Marekani Hillary Clinton ilibidi amfukuze kazi Mama Feraro, Pia Obama aliji-distance na mchungaji wake Jeremiah Wright aliyekua akimpigia debe Obama kwa mbinu zisizo za kistaarabu za kibaguzi dhidi ya wazungu pia uliona John McCain akijiweka mbali Radio personality wa Ohio aliyemuita Obama kwa jina la msizitizo Hussein

Yote hii ilikua ni jaribio kujenga positive Political PR .Now January should stay above the fray.
 
Last edited by a moderator:
kimombo kibovu kabisa na hakina maana huyu mwavita makamba ndo alikuwa barmaid wa lodge yao pale nanenane usambara lodge kisha ajiweka.meneja kisha mzee yusufu kamfukuza au mwingine?
 
Back
Top Bottom